Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wairani hawafai mi nawagawa. Kupigana dhidi ya taifa kubwa zaidi kiuchumi na kijeshi duniani na kushinda sio kitu kidogo. Hebu fikiria siku ya kwanza tu ya operation epic Fury waliondolewa viongozi wote wakuu wa Iran. Baada ya jambo Hilo Trump akatangaza unconditional surrender kwa IRGC. Wanaume wakasema tufe wowote lakini makombora lazima yafanye kazi. Makombora yakafanya kazi vizuri vikaanza vilio. Seaze fire imekwisha anayelilia operations zisiendelee ni US kwa uoga. Niwaulize ninyi Wamarekani wenzangu wa Ubungo je Ile fire and fury iliyotangazwa na Trump imeishia wapi?
Walisema vinu vya nyuklia tumevilipua now wanaitaka iyo iyo nyuklia
 
Jana masaa mawili kabla ya kikomo Cha cease fire 🔥 IRGC walipita mtaani wakiimba tuendelee ama tusiendelee' watu Tuendelee.. Trump chap akastuka

Daa Trump kaingia chaka zito wanaume wapo mitaani na Makombora mazito

uku wanasema vip tukiwashe upya!!!!!

Wananchi mwaga MOTO mwaga MOTO hatupoi hatujawai kupoaa..
 
1776874432096.png
 
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi la Iran (IRGC) limetoa onyo kali likisema linaweza kukata nyaya za intaneti za chini ya bahari zinazopita katika Mlango wa Hormuz, likizielezea kama vituo muhimu vya shinikizo.

Kwa mujibu wa shirika la habari la Tasnim ambalo linahusishwa na IRGC hatua hiyo inaweza kusababisha kile kilichotajwa kuwa janga la kidijitali kwa nchi za eneo la Ghuba endapo itatekelezwa.

Ripoti za vyombo vya habari vya Iran zinasema nchi za Ghuba hutegemea kwa kiasi kikubwa nyaya hizo kwa huduma za intaneti, mifumo ya benki

Hata hivyo ripoti hizo zinasema kuwa Iran yenyewe haitegemei sana nyaya hizo kutokana na kuwa na miunganisho ya mawasiliano kupitia njia za nchi kavu.
 
TATIZO SIO IRAN KUMILIKI NYUKLIYA
NI VITA KATI YA MAREKANI NA CHINA
China alikuwa mnunuzi mkubwa wa mafuta ya Venezuela na alikuwa anatumia pesa yake ya Yuan kununuà mafuta hayo. Marekani ikaishambulia Venezuela na kuchukua udhibiti wa mafuta yake.

China ni mnunuzi mkubwa zaidi wa mafuta ya Iran kwa kutumia Yuan. Marekani imeishambulia Iran.

India ilikuwa mteja mkubwa wa mafuta ya Urusi na ilikuwa inaelekea kufufua ushirikiano wa RIC (Russia–India–China). Marekani ikaweka ushuru wa asilimia 50 kwa bidhaa za India zinazoingia nchini Marekani kutokana na India kuwa mnunuzi mkubwa wa mafuta ya Urusi.

Vita iliyopo mashariki ya kati si kuhusu Iran kutengeneza silaha za nyuklia. Iran haikuwa tishio kwa Marekani. Vita hivi vinahusu Marekani kuonyesha nguvu zake dhidi ya China katika biashara ya mafuta duniani na kulinda ubora wa dola ya Marekani. Marekani haikuwa na chaguo ila kuizuia China, vinginevyo Yuan ingeweza kuwa sarafu ya dunia.

Kwa uhalisia, vita hivi ni kati ya Marekani na China, na wengine ni washiriki wa pembeni tu.

Hapo hakuna mambo ya udini, hakuna masuala ya nyuklia, bali ni vita ya kimaslahi baina ya mataifa mawili. Ndio maana leo hii China imetuma meli zake tatu za kijeshi kuelekea ghuba ya Oman ili kwenda kulinda meli zake za mafuta kutoka kwenye bandari za Iran. Awali meli hizi zilikuwa kwenye ghuba ya Aden kabla ya kuhamishiwa kwenye ghuba ya Oman.
 
Ndio kusema China kashapima uwezo wa Kijeshi wa Marekani !!

kwasasa wanaenda kusafisha lango na kuitaka Marekani kukaa mbali na maslahi ya China !!!

Ukweli ukubwa wa jeshi la Marekani ulijengwa zaidi kupitia Propaganda za MEDIA!!!

Trump kanywea kumjibu chochote CHINA baada kupewa vitisho !!!

Kwasasa muhimu tujifunze kichina kabla kuchelewa Dunia ikatutupa upya!!!
 
Kwasasa Dunia ni ya mchina kuzuiya icho kitu haiwezekani kabisa!!
QURAN inaenda kukamilisha maajabu yake ndani ya Ulimwengu¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿
 
🚨FIFA imekataa mara moja wazo la Rais wa Marekani Donald Trump kuomba Italy wachukue nafasi ya Iran kushiriki kombe la Dunia mwaka huu, Pia Italy nao wamepinga wazo Hilo haraka. 🇮🇹

Italy wanasema hawawezi kushiriki Kombe la Dunia kwa mlango wa Nyuma na pia wamesema hawazezi kujiingiza kwenye Vita hiyo.👀
 
Geo Engineering na Climate Warfare
IMG_7252.jpeg

Katika mwaka 2011, rais wa zamani wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad, alisema: “Wanatuibia mvua zetu.” Hakuna aliyemwamini.

Nadharia inayosambaa kuelezea ongezeko la mvua nchini Iran, hasa baada ya vita vya hivi karibuni na uharibifu ulioambatana nao wa vituo vya ufuatiliaji wa hali ya hewa katika UAE ambavyo vilikuwa vinatumika katika cloud seeding na rain-making operations katika miaka ya hivi karibuni ni nadharia yenye msingi wa kisayansi unaoweza kueleweka wazi.

Lakini vipi?

UAE ilianza, kwa ushirikiano na Israel tangu miaka ya 1990, kuanzisha large-scale cloud rain-making programs.

Kwa wasiojua, mchakato wa rain-making au cloud seeding hufanyika kwa kuachilia vifaa vinavyochochea condensation ndani ya mawingu, kama silver iodide, sodium chloride, na wakati mwingine potassium salts, kupitia ndege maalum au ground-based generators, ili matone madogo ya mvuke wa maji ndani ya wingu yaungane na kuwa matone mazito yanayoanguka kama mvua.

Sababu ni kwamba mawingu mengi hupita juu ya eneo fulani bila kunyesha hapo, kwa sababu hayajafikia hatua ya full water maturity, au kwa sababu joto katika lower atmospheric layers linazuia precipitation, au kwa sababu conditions za atmospheric uplift hazijakamilika. Kwa maneno mengine, wingu liko rain-ready, lakini bado halijaanza kunyesha.

UAE, kutokana na location yake karibu na Arabian Sea na Indian Ocean, hupokea kiasi kikubwa cha mawingu ya msimu na unyevunyevu kutoka kusini na kusini mashariki. Lakini hali ya joto kali na descending air katika maeneo mengi husababisha mawingu haya kuendelea kusonga kuelekea mashariki na kaskazini. Yanapofika Iran, hasa maeneo ya magharibi na kaskazini magharibi, hugongana na milima kama Zagros Mountains, na kusababisha orographic uplift inayochochea mvua kubwa.

Lakini kutokana na extensive rain-making operations zinazofanywa katika UAE, na programu zinazofanana zinazotekelezwa na Israel, sehemu ya water load ya mawingu haya ilikuwa inapunguzwa kabla ya kufika katika njia yake ya asili. Matokeo yake ni kwamba maeneo makubwa nchini Iran, hasa magharibi na kaskazini magharibi, yaliingia katika mawimbi makali ya ukame yasiyokuwa ya kawaida.

UAE, hasa tangu 2010, ilipanua sana programu yake na kujenga modern monitoring networks ikiwa ni pamoja na Doppler radars, vituo vya vipimo vya ardhini, na cloud tracking centers, pamoja na kuendesha ndege maalum kwa rapid response kwa mawingu yanayopita. Mfumo huu haukuwa tu kwa ajili ya observation, bali pia kwa intercepting clouds zinazopita na kuzifanya zitoe mvua kabla hazijakamilisha safari yao kuelekea Iran.

Israel pia ilikuwa ikifanya approach hiyo hiyo, jambo lililosababisha “wizi” wa mvua ambazo zilikuwa zinaelekea Jordan na kusini mwa Syria, na kusababisha kupungua kwa mvua katika maeneo makubwa na kupelekea ukame wa mara kwa mara.

Na tangu mapema 2020, baada ya Abraham Accords, ushirikiano wa UAE na Israel katika sensing technologies na cloud seeding uliharakishwa, na rain-making programs kupanuliwa kwa kiwango kisicho na mfano, jambo lililosababisha kuongezeka kwa ukame ndani ya Iran, kuongezeka kwa “wizi wa mvua,” na kuchangia katika janga la Ziwa Urmia kupungua kwa kasi.

UAE ilijenga si chini ya vituo saba vya kisasa vya cloud observation na targeting, baadhi vikitegemea satellite data na models kama ECMWF na GFS, ambayo practically ina maana ya kuwa na uwezo wa intercept clouds na kuzimaliza mapema , kwa maneno ya moja kwa moja, kuiba mvua kabla hazijafika kwa “wenye haki” wa njia yake ya asili.

Na baada ya vita vya sasa, pamoja na disruption au uharibifu wa baadhi ya radar infrastructure na systems zinazohusiana na programu hizi, nchi kama Syria, Jordan, na Iran zimeshuhudia ongezeko wazi la mvua.

UAE na Israel zilipoteza sehemu kubwa ya uwezo wao wa kufuatilia mawingu na kuyafanyia seeding mapema, hivyo mawingu mengi hayapunguzwi tena kabla ya kuvuka, na nchi hizi zimeanza tena kupokea mvua ambazo zilinyimwa kwa miaka.

Mvua kubwa ambazo eneo hili limeshuhudia na bado linaendelea kushuhudia licha ya kuingia katika mwezi ambao hapo awali mabwawa na maziwa yalikuwa karibu kukauka… je, hii ni coincidence ya hali ya hewa tu, au kuna maelezo mengine?

Simulizi za zamani za Iran zimeibuka tena, ambazo mwaka 2012 zilidai kuwa UAE na Israel zilikuwa zinachezea hali ya hewa ya eneo kupitia cloud seeding, na kusababisha madhara kwa nchi za eneo hilo.

Kwa upande mwingine, kuna nadharia nyingine inayodai kuwa kupungua kwa uzalishaji wa oil na gas kumeathiri hali ya hewa, lakini nadharia hii haishikiki ukilinganisha na nchi kama Marekani, China, na Russia ambazo zina uzalishaji mkubwa wa hewa ukaa lakini bado hupata mvua za kawaida.

Climate engineering ni reality kwa mfano, kunyunyizia chembechembe angani ili kubadilisha mwanga wa jua na temperature patterns. Imewekewa vikwazo katika baadhi ya maeneo ya Marekani na inatambuliwa na wanasayansi wengi. Si tena “conspiracy theory” kabisa.

Tangu kuharibiwa kwa vituo vya kijeshi vya Marekani katika Ghuba na kusimamishwa kwa safari za ndege juu ya anga ya Iran, mvua na theluji vimerudi kwa wingi nchini Iran baada ya muongo wa ukame.

🌧️ Nchini Uturuki, mabwawa yameanza kujaa na kufurika baada ya miaka 15 ya tahadhari.
⛅️ Nchini Iran, mabwawa yameanza kufurika baada ya nusu karne.
🌧️ Nchini Iraq, mabwawa yameanza kufurika baada ya robo karne.

Mito ya Euphrates na Tigris imeanza kufurika, na maziwa yaliyokauka yamejaa tena.

Hii ndiyo ilitokea baada ya Iran kuharibu rain observatory katika UAE.

View: https://x.com/thewyterabbit1/status/2047462393823780945?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q

View: https://x.com/tariqtramboo/status/2047360446710362501?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q

View: https://x.com/jvnior/status/2047396144888574096?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q

View: https://x.com/hanoglu_hakan/status/2047400256908775902?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q

View: https://x.com/anesmansory/status/2047490350554796394?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q
 
Geo Engineering na Climate Warfare
View attachment 3578327

Katika mwaka 2011, rais wa zamani wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad, alisema: “Wanatuibia mvua zetu.” Hakuna aliyemwamini.

Nadharia inayosambaa kuelezea ongezeko la mvua nchini Iran, hasa baada ya vita vya hivi karibuni na uharibifu ulioambatana nao wa vituo vya ufuatiliaji wa hali ya hewa katika UAE ambavyo vilikuwa vinatumika katika cloud seeding na rain-making operations katika miaka ya hivi karibuni ni nadharia yenye msingi wa kisayansi unaoweza kueleweka wazi.

Lakini vipi?

UAE ilianza, kwa ushirikiano na Israel tangu miaka ya 1990, kuanzisha large-scale cloud rain-making programs.

Kwa wasiojua, mchakato wa rain-making au cloud seeding hufanyika kwa kuachilia vifaa vinavyochochea condensation ndani ya mawingu, kama silver iodide, sodium chloride, na wakati mwingine potassium salts, kupitia ndege maalum au ground-based generators, ili matone madogo ya mvuke wa maji ndani ya wingu yaungane na kuwa matone mazito yanayoanguka kama mvua.

Sababu ni kwamba mawingu mengi hupita juu ya eneo fulani bila kunyesha hapo, kwa sababu hayajafikia hatua ya full water maturity, au kwa sababu joto katika lower atmospheric layers linazuia precipitation, au kwa sababu conditions za atmospheric uplift hazijakamilika. Kwa maneno mengine, wingu liko rain-ready, lakini bado halijaanza kunyesha.

UAE, kutokana na __cpLocation yake karibu na Arabian Sea na Indian Ocean, hupokea kiasi kikubwa cha mawingu ya msimu na unyevunyevu kutoka kusini na kusini mashariki. Lakini hali ya joto kali na descending air katika maeneo mengi husababisha mawingu haya kuendelea kusonga kuelekea mashariki na kaskazini. Yanapofika Iran, hasa maeneo ya magharibi na kaskazini magharibi, hugongana na milima kama Zagros Mountains, na kusababisha orographic uplift inayochochea mvua kubwa.

Lakini kutokana na extensive rain-making operations zinazofanywa katika UAE, na programu zinazofanana zinazotekelezwa na Israel, sehemu ya water load ya mawingu haya ilikuwa inapunguzwa kabla ya kufika katika njia yake ya asili. Matokeo yake ni kwamba maeneo makubwa nchini Iran, hasa magharibi na kaskazini magharibi, yaliingia katika mawimbi makali ya ukame yasiyokuwa ya kawaida.

UAE, hasa tangu 2010, ilipanua sana programu yake na kujenga modern monitoring networks ikiwa ni pamoja na Doppler radars, vituo vya vipimo vya ardhini, na cloud tracking centers, pamoja na kuendesha ndege maalum kwa rapid response kwa mawingu yanayopita. Mfumo huu haukuwa tu kwa ajili ya observation, bali pia kwa intercepting clouds zinazopita na kuzifanya zitoe mvua kabla hazijakamilisha safari yao kuelekea Iran.

Israel pia ilikuwa ikifanya approach hiyo hiyo, jambo lililosababisha “wizi” wa mvua ambazo zilikuwa zinaelekea Jordan na kusini mwa Syria, na kusababisha kupungua kwa mvua katika maeneo makubwa na kupelekea ukame wa mara kwa mara.

Na tangu mapema 2020, baada ya Abraham Accords, ushirikiano wa UAE na Israel katika sensing technologies na cloud seeding uliharakishwa, na rain-making programs kupanuliwa kwa kiwango kisicho na mfano, jambo lililosababisha kuongezeka kwa ukame ndani ya Iran, kuongezeka kwa “wizi wa mvua,” na kuchangia katika janga la Ziwa Urmia kupungua kwa kasi.

UAE ilijenga si chini ya vituo saba vya kisasa vya cloud observation na targeting, baadhi vikitegemea satellite data na models kama ECMWF na GFS, ambayo practically ina maana ya kuwa na uwezo wa intercept clouds na kuzimaliza mapema , kwa maneno ya moja kwa moja, kuiba mvua kabla hazijafika kwa “wenye haki” wa njia yake ya asili.

Na baada ya vita vya sasa, pamoja na disruption au uharibifu wa baadhi ya radar infrastructure na systems zinazohusiana na programu hizi, nchi kama Syria, Jordan, na Iran zimeshuhudia ongezeko wazi la mvua.

UAE na Israel zilipoteza sehemu kubwa ya uwezo wao wa kufuatilia mawingu na kuyafanyia seeding mapema, hivyo mawingu mengi hayapunguzwi tena kabla ya kuvuka, na nchi hizi zimeanza tena kupokea mvua ambazo zilinyimwa kwa miaka.

Mvua kubwa ambazo eneo hili limeshuhudia na bado linaendelea kushuhudia licha ya kuingia katika mwezi ambao hapo awali mabwawa na maziwa yalikuwa karibu kukauka… je, hii ni coincidence ya hali ya hewa tu, au kuna maelezo mengine?

Simulizi za zamani za Iran zimeibuka tena, ambazo mwaka 2012 zilidai kuwa UAE na Israel zilikuwa zinachezea hali ya hewa ya eneo kupitia cloud seeding, na kusababisha madhara kwa nchi za eneo hilo.

Kwa upande mwingine, kuna nadharia nyingine inayodai kuwa kupungua kwa uzalishaji wa oil na gas kumeathiri hali ya hewa, lakini nadharia hii haishikiki ukilinganisha na nchi kama Marekani, China, na Russia ambazo zina uzalishaji mkubwa wa hewa ukaa lakini bado hupata mvua za kawaida.

Climate engineering ni reality kwa mfano, kunyunyizia chembechembe angani ili kubadilisha mwanga wa jua na temperature patterns. Imewekewa vikwazo katika baadhi ya maeneo ya Marekani na inatambuliwa na wanasayansi wengi. Si tena “conspiracy theory” kabisa.

Tangu kuharibiwa kwa vituo vya kijeshi vya Marekani katika Ghuba na kusimamishwa kwa safari za ndege juu ya anga ya Iran, mvua na theluji vimerudi kwa wingi nchini Iran baada ya muongo wa ukame.

🌧️ Nchini Uturuki, mabwawa yameanza kujaa na kufurika baada ya miaka 15 ya tahadhari.
⛅️ Nchini Iran, mabwawa yameanza kufurika baada ya nusu karne.
🌧️ Nchini Iraq, mabwawa yameanza kufurika baada ya robo karne.

Mito ya Euphrates na Tigris imeanza kufurika, na maziwa yaliyokauka yamejaa tena.

Hii ndiyo ilitokea baada ya Iran kuharibu rain observatory katika UAE.

View: https://x.com/thewyterabbit1/status/2047462393823780945?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q

View: https://x.com/tariqtramboo/status/2047360446710362501?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q

View: https://x.com/jvnior/status/2047396144888574096?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q

View: https://x.com/hanoglu_hakan/status/2047400256908775902?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q

View: https://x.com/anesmansory/status/2047490350554796394?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q

Kuna kitabu cha mwandishi anaitwa SYDNEY SHELDON kimeongelea mambo ya kubadiisha hali ya hewa, Nadhani kinaitwa ARE YOU AFRAID OF THE DARK? Kwenye kitabu inaelezwa kuwa kiongozi wa nchi ya Ureno alipokataa kuendana na matakwa yao, wakamchezeshea hali ya hewa kukawa na ukame nchi nzima.
 
Suala la kuzuia mvua bana hii kumbe ni kweli!? Hata raia wa Iraq na Afghanistan wanadai kuwa baada ya radar za USA kuharibiwa middle east ghafla wana experience mvua kubwa kiasi KABUL kumetokea mafuriko jana. Wanasema hili hawakuwahi kuliona muongo mmoja kabla.
Ahmedinajad hakusema uongo. Iran na Iraq mito imeanza kufurika kwa mvua zinazonyeesha sasa.
 
Weather manipulation, kusema kweli science imefika mbali sana mkuu
 
✅️John Kerry, aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Aprili 2026 ametoa kauli nzito akidai kuwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alijaribu kwa miongo kadhaa kuwashawishi marais wa Marekani kuishambulia Iran kijeshi.

🔴Hapa kuna mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye mahojiano ya John Kerry na vyombo vya habari:

🔴Marais Waliokataa: Kerry alifichua kuwa Netanyahu alipeleka mapendekezo ya kuishambulia Iran kwa marais George W. Bush, Barack Obama, na Joe Biden, lakini wote walikataa katakata mpango huo.

🔴Trump Kukubali: Kerry amesisitiza kuwa Donald Trump ndiye rais pekee aliyekubali ombi la Netanyahu la kuishambulia Iran, hatua iliyopelekea kuanza kwa operesheni za kijeshi mnamo tarehe 28 Februari 2026.

🔴Dhana ya "Useful Idiot": Katika mahojiano yake ya hivi karibuni (Aprili 17, 2026), Kerry amekosoa vikali hatua ya Trump na kutumia lugha kali, akisema kuwa Trump amekuwa kama "zuzu au Jinga" aliyetumiwa na Netanyahu kutimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kuidhoofisha Iran.

🔴Hakukuwa na Tishio: Kerry aliongeza kuwa wakati mashambulizi hayo yanaanza, hakukuwa na tishio la dharura kutoka kwa Iran ambalo lingehitaji vita.
#trending #iran🇮🇷 #viral
 
BREAKING: 🚨
Israel yaitaja China kuwa ni nchi inayochochea chuki dhidi ya Wayahudi (Antisemitism) na kuiomba dunia kuweka vikwazo kamili vya kisiasa na kiuchumi dhidi yake. 🌍📉

Maafisa wa Israel wanadai kuwa China imekuwa ikifadhili simulizi hatari na kujenga ushirikiano wa kimkakati unaotishia usalama wa jamii za Kiyahudi duniani kote. 🇮🇱🇨🇳

Israel sasa inatoa wito kwa nchi na wafanyabiashara duniani kote kusitisha mahusiano ya kibiashara na China kama hatua ya kupinga sera hizo.
🙃
 
Ona huu upumbavu Dunia imesha badilika Yani nisitishe kufanya biashara na china kisa myahudi kanitaka nifanye hivyo? Yeye ni nani
 
BREAKING: 🚨
Israel yaitaja China kuwa ni nchi inayochochea chuki dhidi ya Wayahudi (Antisemitism) na kuiomba dunia kuweka vikwazo kamili vya kisiasa na kiuchumi dhidi yake. 🌍📉

Maafisa wa Israel wanadai kuwa China imekuwa ikifadhili simulizi hatari na kujenga ushirikiano wa kimkakati unaotishia usalama wa jamii za Kiyahudi duniani kote. 🇮🇱🇨🇳

Israel sasa inatoa wito kwa nchi na wafanyabiashara duniani kote kusitisha mahusiano ya kibiashara na China kama hatua ya kupinga sera hizo.
🙃
Wamepagawa hao. Kuna nchi gani itasimama dhidi ya China!?
Hao western imperialists wenyewe waliambiwa na Trump waweke sanctions bidhaa za umeme za China wakakataa. China is a big fish sio nchi ya kucheza nayo tena.
 
Back
Top Bottom