Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Inaisha leo usiku nadhani siku ikibadilika...
20260422_065506.jpg
 
Tukumbuke Trump mwanzo kwajiamini na kuamini JESHI lake baada ya kuanza kushambulia tu !!

Ukiacha tangaza lake la lengo la kuangusha Utawala !!

uyu Trump aliwataka Wanajeshi na taasisi zote za Usalama ndani ya Iranian kuweka Silaha chini na kujisalimisha ili wabaki Salama la sivyo watauwawa!!!

Kufikia sasa Trump anatafuta Ceasefire kwa mbindeeee ☠️☠️✍️

Sisi tukisema Iranian imeshinda huu Mgogoro wa Kivita.

bado wapo watatupinga!!!!!
 
Trump siku za nyuma alikuwa mala kwa mala utumia neno ili kibabe namnukuu
Trump,
NINAMACHAGUO MENGI MEZANI sasa sujui kwasasa kabakisha lipi!!!!!!!!!!😇😇
 

Attachments

  • images (1) (13).jpeg
    images (1) (13).jpeg
    51.7 KB · Views: 26
  • HFCTBIYWcAAQ3Ap.jpeg
    HFCTBIYWcAAQ3Ap.jpeg
    76.8 KB · Views: 29
  • 1774978362327.jpg
    1774978362327.jpg
    111.9 KB · Views: 26
  • HFV9LTBWwAAZHZV.jpeg
    HFV9LTBWwAAZHZV.jpeg
    123.5 KB · Views: 27
Hivi wakuu kuna aliewahi kupigana vita na iran akashinda????

Naomba kuijua iyo nchi kwanza ndio mijadala mingine iendelee
Ni himaya ya Ottoman tu dhidi ya dola ya Gaznavid(Iran ya sasa) miaka ya 1400.
Labda na Roman empire miaka ya karne za nyuma sana dhidi ya Persian empire. Ila kwasasa tangu mipaka ya nchi na taifa liitwe IRAN kama IRAN hakujawahi kuwa na nchi iliyoipiga Iran kikamilifu.
 
Jana masaa mawili kabla ya kikomo Cha cease fire 🔥 IRGC walipita mtaani wakiimba tuendelee ama tusiendelee' watu Tuendelee.. Trump chap akastuka
 

Attachments

  • VID_20260421_193120_933.mp4
    1.2 MB
Ni himaya ya Ottoman tu dhidi ya dola ya Gaznavid(Iran ya sasa) miaka ya 1400.
Labda na Roman empire miaka ya karne za nyuma sana dhidi ya Persian empire. Ila kwasasa tangu mipaka ya nchi na taifa liitwe IRAN kama IRAN hakujawahi kuwa na nchi iliyoipiga Iran kikamilifu.
Nimeisahau na dola ya SAFAVID. Hii nayo ilikua dola ya kishia ya Iran ambayo ndio ilichora mipaka halisi ya sasa ya Iran.
Ghaznavid ilijumuisha maeneo mengi hadi Afghanistan,Pakistan na sehemu za India.
Ila Safavid ndio exactly Iran ya sasa. Hii nayo walipigwa na Ottoman empire.
 
Wairani hawafai mi nawagawa. Kupigana dhidi ya taifa kubwa zaidi kiuchumi na kijeshi duniani na kushinda sio kitu kidogo. Hebu fikiria siku ya kwanza tu ya operation epic Fury waliondolewa viongozi wote wakuu wa Iran. Baada ya jambo Hilo Trump akatangaza unconditional surrender kwa IRGC. Wanaume wakasema tufe wowote lakini makombora lazima yafanye kazi. Makombora yakafanya kazi vizuri vikaanza vilio. Seaze fire imekwisha anayelilia operations zisiendelee ni US kwa uoga. Niwaulize ninyi Wamarekani wenzangu wa Ubungo je Ile fire and fury iliyotangazwa na Trump imeishia wapi?
 
Ni himaya ya Ottoman tu dhidi ya dola ya Gaznavid(Iran ya sasa) miaka ya 1400.
Labda na Roman empire miaka ya karne za nyuma sana dhidi ya Persian empire. Ila kwasasa tangu mipaka ya nchi na taifa liitwe IRAN kama IRAN hakujawahi kuwa na nchi iliyoipiga Iran kikamilifu.
Basi ni vyema tukamaliza mjadala hakuna anaemuweza muajemi huyu mmarekani ni kelele tu ndio kajaaliwa
 
Back
Top Bottom