Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kwani huo mkutano ungefanyiwa kwenye mkao ya chini ya ardhi hiyo Israel ingewauwaje?
Tena inasemekana kuwa maafisa wa ujasusi wa Iran walimuonya juu ya kufanyia mikutano kwenye makazi yake kwa wakati huu lakini yeye akakataa maonyo yao.
Na hii ndo hasara ya kutanguliza siasa kwenye mambo yanayo hitaji akili
Imani

Ana amini akifa atakwenda kukaa next chair na mudi peponi 😁😁😁

Kumbe analitia hasara Taifa
 
Bahrain hawana air defense system?
Mbona drone inajimwambafy namna hii?

View attachment 3552106
Inchi nyingi za middle east zinaenda kuishiwa Interceptors za kuzuia mabomu, Qatar na UAE stocks waliyo bakia nayo haizidi wiki inawezekana Bahrain nao stock itakuwa imekata.So baada ya wiki kila kilicho cha US (Kambi na Balozi zake) ndani middle east kitakuwa kimelipuliwa na Iran wametangaza mwezi mmoja wa maombelezo na wamesema katika kipindi hiko hawato poa. So US sasa hivi kichwa kinamuuma anategemea mashambulizi ya anga ,ila mda si mrefu atakosa eneo la ndege zake kutua na kujaza mafuta,pamoja na maintenance ndogo ndogo. Kuna uwezekano baada ya hapo ,Iran ndipo atahamia kwa Myahudi full mazima,kwani atakuwa amempunguza nguvu US.
 
Ila kwa ground Iran ndio anachezea kichapo au? Tangu jana mashambulizi ya Iran yamepungua ila Israel ndio anashambulia sana. Ni strategy au pumzi inakata?
Iran ni mjinga, hakupaswa hata kwa bahati mbaya kutengeneza uadui kati yake na Majirani zake.
Yeye hizo nguvu za kulipua Gulf Nations angeelekeza kwa Israel.

Israel anawainda launchers zote
Baada ya hapo Iran itatulia kabisa
 
Iran yeye alidanganywa na Wachina kapewa Radar sijui midudu gani.
Hata waliokuwa wakisema kuwa jeshi la Venezuela lilizima radar wamekaa kimya
Kwa mashambulizi anayofanya Israel na US kwa pamoja kama isingekua hizo radar unazozidharau muda hii Iran ingekua Gaza.
Kila shambulio Israel na US wanapeleka ndege sio chini ya 150 kwa mujibu wa ripoti zao wenyewe.
 
Huenda huelewi.
Sasa kama zinaenda ndege 150 maana yake mmeshindwa tungua hata 1?
 
Kwani huo mkutano ungefanyiwa kwenye mkao ya chini ya ardhi hiyo Israel ingewauwaje?
Tena inasemekana kuwa maafisa wa ujasusi wa Iran walimuonya juu ya kufanyia mikutano kwenye makazi yake kwa wakati huu lakini yeye akakataa maonyo yao.
Na hii ndo hasara ya kutanguliza siasa kwenye mambo yanayo hitaji akili
Bunker busters
 
Usiwaamini wazungu na hizi propaganda.

Nchi za ulaya wanajidai hawaungi mkono US kwenye hii vita ili kupunguza mashambulizi wanayoweza kupata kutoka Iran na vikundi vya kigaidi, lkn subiri kwenye finishing utaona washirika wote wakijiweka wazi.
Vita ikiisha ndio hujitokeza tena sio ulaya hata hapo uarabuni na Asia kiujumla
 
Back
Top Bottom