Ona ulivyo muongo "eti 2 weeks tumeanza kusikia 2008 nyenyenye".Hizo 2 weeks tumeanza kuzisikia 2008!! Acha story ww.
Kabishane na Mr.Grossi afisa wa IAEA.
Ona ulivyo muongo "eti 2 weeks tumeanza kusikia 2008 nyenyenye".Hizo 2 weeks tumeanza kuzisikia 2008!! Acha story ww.
Ripoti tunatoa kwao mkuu.Ila Wabongo. Tuko Buza ila tunajua kuliko wataalam wa Iran,Israel na USA.
Mkuu huwa unalala saangap?🤣🤣💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashanbulia kwa makombora kambi ya missile ya asadabad
Kwani huo mkutano ungefanyiwa kwenye mkao ya chini ya ardhi hiyo Israel ingewauwaje?Wakishakuwa na digital copy ID yako huchomoki ,Na hakuna kujificha, artificial intelligence na autonomous weapon zitamalizana na wewe, technology waliyotumia kumkamata Maduro chumbani kwake au yule drug cartel leader aliyeuliwa juzi ndio inatumika Iran, hawahitaji snitch siku hizi
Jeshi limesha pewa mamlaka yote ya kufanya maamuzi bila kutegemea maagizo ya wanasiasa.Ripoti;
-Qatar Ministry "Tunachozungumza na wizara ya nje ya Iran kinaonesha matumaini ya amani,ila matendo yanaonekana tofauti,huwenda hakuna muunganiko wa amri baina ya serikali kuu na jeshi la mapinduzi".
-Iraq na Iran Kurdi pamoja na MEK fighters wamepewa silaha kukinukisha ndani ya iran.
Wasingefanya hivyo sasa mzee!Jeshi limesha pewa mamlaka yote ya kufanya maamuzi bila kutegemea maagizo ya wanasiasa.
Wengine hadi eti wanachukia hadi wanatukanana, Yani kuna mafala sana hii nchi, wanavyojikuta wataalamu sasa wanavyotaja majina ya mabomu ya nuclear.Ila Wabongo. Tuko Buza ila tunajua kuliko wataalam wa Iran,Israel na USA.
Naona X imerestrict AI videoPropaganda video ni kama zile drone zinapiga kelele kama bodaboda.
Akili hamna 😁😁View attachment 3552079
Ujumbe Kwa Trump.
Hii figure sio kweli💥💥💥💥
Trump: karibu waandamanaji 35000 waliuliwakwenye maandamano nchini Iran
Jamaa Yuko well informedsema mwamba nakukubari sana kwa uwezo wako wa kujenga HOJA zenye mashiko na ufafanuzi wa kina
kuna muda naona kabisa MAPRO US na ISRAEL wanataka mabishano ili uwape nondo
nakumbuka kama uzi wa RUSSIA vs UKARAINE kuna mwamba mmoja alikuwa PRO US kindakindaki alikuwa anajiita HIMARS alikuwa anashusha nondo na ufafanuzi wa kina sana kuhusu siraha za RUSSIA na US kiasi kwamba mapro RUSSIA alikuwa anatukarisha kila tukienda tunakula za uso kwa hoja na fully ufafanuzi
sasa ndio kama wewe sasa washakuja PRO US kibao lkn unawakalisha kwa nondo zenye hoja na ufafanuzi wa kina
endelea kutupa maujanja
hata kama IRAN itaanguka ila historia yake ya vuta hii itaandikwa mpaka vizazi na vizazi
Usiwaamini wazungu na hizi propaganda.Naona Uk nae kamkatalia trump kutumia base yake ya cyprus
Trump anazidi kupoteza uungwaji mkono kwenye hii vita
Duhh !! Kashikwa pabaya na Jewish Mzee ni Malaya Malaya huyo Anaogopa file la Epstein kuleak , kaona kama mpaka Bill gate na Bill Clinton wameanikwa basi soon atafuata yeye 😁😁-Pentagon "Iran haikuwa na mpango wa kutushambulia kabla."
Trump anaumbuka kila leo,hadi Pentagon imemkataa.