Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Trump: Kuna awamu ya tatu ya mashambulizi inakuja, yatakua mashambulizi makubwa sana
 
💥💥💥💥
Trump: karibu waandamanaji 35000 waliuliwakwenye maandamano nchini Iran
 
💥💥💥💥
Trump: kuna mtu mmoja ndani ya Iran ndio anafaa kuchukua nafasi ya uongozi baada ya sisi kumaliza hii operation
Tatizo la Trump anaropoka sana kila kitu kinacho zunguka ndani ya halmashauri ya ubongo wake kama vile sio Rais wa taifa kubwa kama U.S

Sasa hivi anataka ku support vikundi vya kigaidi ndani ya Iran sijui vita imeanza kumchosha anajua mwenyewe
 
💥💥💥💥
Trump: karibu waandamanaji 35000 waliuliwakwenye maandamano nchini Iran
Yeye na Israel wameua watoto wangapi majuzi ?

Kwa haya maombolezo yanayo endelea Iran hili shambulizi la shule lilikuwa la kipuuzi sana kufanywa na Marekani na Israel ambao wanaitaka support ya Wairan kung'oa utawala kwa udi una uvumba
 
Mbona USA wanaweza kutoa footage kutoka kwenye ndege zao? Iran watoe footage zao wanapopuga sensitive targets za Israel.
Kwamba wafunge camera kwenye Kombora?

USA na Israel propaganda na kubrainwash watu ni jadi yao, wao ndo wanahangaika kujisafisha, Iran ye lengo lake ni kupiga sio sifa ama kutengeneza Hollywood movie,

Just imagine vice versa is true na Israel ndio kasambaratisha kambi zote middle East za USA at same time Iran wamejifungia chini ya Ardhi ving'ora kila sehemu, na Israel inatifua mabunker ya iRan wanakufa huko huko chini ya Ardhi, basi tungetambiwa humu jukwaani watu wangeandika kila sehemu. Ila sababu Iran ndio amefanya hivyo kila MTU ana downplay.
 
Wewe Jamaa huna akili! Unashangilia nini hapa? Unadhan Israel ikiamua kupiga na raia wa Iran purposely! Itabakiza kitu?? Au unataka Iran igeuzwe Gaza.???
Wacha UFALA wewe,Israel toka lini ikawa na huruma na raia?
Unajua raia wangapi wameuaawa kimakusudi hadi sasa na Israel!?
Au huoni ndege anazotuma 200+ kwa mpigo zipige target hovyo!?
Kama Iran ingekua haina Air defense system hata moja basi ingegeuka Gaza hadi sasa.
 
Bila ubishi USA haina active base mashariki ya kati.
Kama zingekuwepo wasingeomba Uturuki na Cyprus watumie kambi zao.
Bahrain,Qatar,Kuwait,UAE,Saudi Arabia,Iraq,Jordan kambi zote huko zimelipuliwa.
Kwa akili yako USA kambi zake ziwepo aende Cyprus,Uhispania na Uturuki kuomba kambi ya kupigania!??
Vita inayoendelea sasa hivi ni kuwasaka Askari wa USA wamejificha Hotel gani wauliwe, there is a reason kwanini USA katoa tamko kila MTU ajifiche kivyake, sehemu zote zilizoandaliwa Iran anapiga humo humo anawaua,

Base walishamaliza mda Tu kuzipiga sasa hivi wanamalizia malizia, unless kuna base ya Siri wasiyoijua.
 
😂😂😂
Huyu mzee aisee
Sasahivi anatoa mipasho kwa UK na Spain
Anasema hawana msaada wala kutoa ushirikiano
Yaani aliposema Iran ingeanza kuwashambulia ndipo nikasema huyu mzee ni kichaa..

Hata hizo nchi anazilaumu wanaona wazi hakukuwa na sababu zozote za msingi kuivamia Iran..

Iran ni nchi inafanya mambo yake imetulia haina fujo na mtu.

Trump anatafuta sababu hadi za kutunga na uongo ili tu kushawishi washirika wake, wananchi wa US na dunia kwamba wanachofanya Iran ni sahihi.

Lakini wengi sana wanaona ni uonevu, na Trump anaona medias, wakosoaji na maoni ya wananchi kwenye social media pia maandamano ya amani kupinga hio vita.

Wamarekani weni hawataki mavita ya kipuuzi tena Middle East.
hq720.jpg


Hata polls mbalimbali zinazofanyika US inaonyeshwa wazi wananchi wengi wa US hawataki hio vita.
 
😂😂😂
Huyu mzee aisee
Sasahivi anatoa mipasho kwa UK na Spain
Anasema hawana msaada wala kutoa ushirikiano
Mwehu huyo sikuwahi muelewa toka first term na supporters wake hivi nao punguani kama yeye states
 
Nimeipima Mossad kwa uwezo inaodaiwa kuwa nao kwa pale Gaza, je mateka 200 waliwapata, wao si wakali wa ujasusi? Hamas wana fedha yeyote , Palestine ni masikini, je mateka walipatikana?
Chini ya kapeti Kuna mambo mengi so Kama Kuna mambo huyajui we tulia boss
 
Back
Top Bottom