Iran hatumii Meli na Ndege, in short Hana Meli wala Ndege mpya yoyote tofauti na vimeli/Viboti vidogo Tu vya patrol. Gharama ya kutengeneza manowari moja ni makumi ya matrilion mwenzako hio anafyatua makumi elfu kama sio malaki ya makombora na Drones.
Kilicholipuliwa ni private yatch, za watu binafsi Tu, na hizo Ndege zao mig za zamani bado zina patrol Anga la Iran.
Wana tight budget hivyo inabidi waitumie efficiently na sio kutengeneza projects ambazo ni luxury. Meli ghali na kuipiga ni rahisi, haina faida nyingi.