Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥
Teleghani 👆
Screenshot_20260303-184615_1.jpg
 
Inaitwa Bagheri na sio Beqeri pia ni Meli ya makontena imewekwa sehemu ya Helicopter kutua juu nothing fancy. Kama unamaanisha hizo Meli za kawaida wanazo, huwezi Ku classify hio kwenye same sentence na manowari ama Meli nyengine za vita.

View attachment 3551925
siwezi kukariri majina ya kiarabu😀... Kwa akili yako unaona hicho walichokifanya Iran ni kidogo sio
 
Meli na ndege zote kwisha. Zimebaki missiles na honestly hizi missiles zinawatoa jasho USA na Israel ndio maana wanataka kuhakikisha Iran hatengenezi nyungine.
Si kweli, Iran wana ndege bado .
Wana underground air base inayoweza kuchukua ndege zote na bombers, hio base inaitwa oghab 44... ni bonge moja la base.

Kinachopelekea Iran wasirushe ndege zake mashariki ya kati au pengine kuto invest zaidi kwenye aircraft ni kwa sababu ya uwepo wa maadui sehemu zote wanamzunguka.

Hivyo anga la mashariki ya kati si salama sana kwa Iran kutumia ndege sana sana zitapigwa. gulf states zote unaona ni puppets wa west na Israel.

Ndio maana amewekeza heavily kwenye tech za missiles.

Hypersonic ni rocket science ile, kama ukisikia ule msemo unapendwa sana kusema endapo ukiwa unataka kumuambia mtu kitu flani si kigumu wanasema 'its not a rocket science'... hivyo wangetaka tengeneza jet wasingeshindwa, wangefanya hata modofication kama Israel inavyofanya.

Hivyo Iran angetaka kuwekeza heavily kwenye air force kwa kutumia ndege asingeshindwa kununua hizo ndege za China J-10 n.k ambazo zilidungua Rafale ya India.

Hivyo kama wameweza kufanya sayansi ngumu zaidi ya roketi ya hypersonic ambapo hata Israel hawana na wala US, usifikiri wangeshindwa tengeneza au hata ku modify ndege zao kwa kununua vifaa China na Russia.

Hivyo Iran always wapo mbele ya muda, ndege wanazo chini ya ardhi. hazijapigwa zote.
06a20000-0aff-0242-555c-08db095c5a9e_w1023_r1_s.jpg
 
💥
Drone imeonekana eneo la huko Galilee, bado haijjulikana imetoka kjwa Hezbollah au Iran.
RRONDO mfano hii drone ikipiga ndio habari huja ilipopoga. Na picha utaziona. Ikiwa intercepted hutaona habari
Video footage:
 

Attachments

  • 2026-03-03_18-53-00_0.mp4
    1.5 MB
💥💥💥💥
Video footage: Israel muda huu inashambulia kwa makombora makao makuu ya Hassan mojtaba kaskazini mwa Tehran. Mlipuko mkubwa

Mkuu RRONDO sasa hivi Tehran giza limeingia bado mashambulizi yanaendelea. Unaweza kuona kwenye video hapa chini
 

Attachments

  • 2026-03-03_18-59-08_0.mp4
    800.8 KB
💥💥💥💥
Trump: ulinzi wa anga lao, jeshi la anga, jeshi la majini na uonozit wao vyote vimeenda. Wanataka tuzungumze Ila nimekataa
Ukiona mtu kila muda anasema 'walitaka mazungumzo tukakataa'.
Ujue yeye ndiye anataka na Iran wanakataa...
Trump anapitia wakati mgumu sana kiakili na kisaikolojia, amebakiza cheap propaganda. alifikiri vita ni kama script za kutunga za mieleka ya WWE alikuwa anafanya zamani. 🤣 🤣 🤣 :FIRE:
donald_trump_wwe.jpg
 
Maandamano ya October 29 internet ikizimwa nchi nzima watu walishindia slesi za mikate na maji hivi Hali kama hii ikitokea mambo yatakuwaje
 
Ukiona mtu kila muda anasema 'walitaka mazungumzo tukakataa'.
Ujue yeye ndiye anataka na Iran wanakataa...
Trump anapitia wakati mgumu sana kiakili na kisaikolojia, amebakiza cheap propaganda. alifikiri vita ni kama script za kutunga za mieleka ya WWE alikuwa anafanya zamani. 🤣 🤣 🤣 :FIRE:
donald_trump_wwe.jpg
😃😃
 
Back
Top Bottom