Hivyo vikundi unavyosemea VYOTE vinaunda silaha za kisasa kama Houthi.Ile michezo ya ugaidi wa ISIS na alqaida this time won’t work, wana dawa yake sasa,tech waliyomkamatia Madulo chumbani kwake na kumla kichwa Ayatollah, yule drug cartel na mahandaki ya hamas ni next level, wana high precision satellites na artificial intelligence, mtadunguliwa vichwa wote na msijue nini kimetoke, rudini mezani au mtafanywa kama hamas
Jana wamelipua Erbil airbase hao Marekani wenu walikua wapi na hizo silaha za teknolojia ya juu!?
Hivyo vikundi unavyoviona vina walau 70% ya uwezo wa silaha kama Iran.
Wewe kaa jidanganye.