Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel imeshambulia kwa makombora Tehran. Mlipuko mkubwa
Screenshot_20260303-150452_1.jpg
 
Turudi kwenye uchumi athari yake. Sasa check market fallout jinsi mambo yamechemka:

S&P futures zimedrop 1.5%. Nasdaq futures down 2%. DoW futures minus 705 points, Wall Street iko shaky.

South Korea’s Kospi imecrash 7.24% , the biggest drop in 19 months. Samsung down 10%, investors wanapull out fast.

Saudi Aramco wameshutdown Ras Tanura, refinery yao kubwa kabisa , 550,000 barrels per day zimeenda offline after drone strike. Hii ni serious supply hit.

QatarEnergy wamehalt ALL LNG production. European natural gas futures zimespike 40% , energy market imepanic. EU walikuwa wanategemea energy ya Qatar kama alternative ya Russia baada ya vita na vikwazo
UAE Abu Dhabi securities exchange (ADX) na Dubai Stock market/Financial Market (DFM) haijafunguliwa siku ya pili leo
Insurance companies sasa wanacancel war risk coverage kwa vessels zinazoingia Persian Gulf. Basically shipping imefreeze, hakuna mtu anataka risk. Gharama ya kusafirisha mizigo kutoka huko zimepanda

Oil imepanda siku ya tatu straight. Analysts wanasema kama Hormuz inabaki closed, $100+ per barrel si story ya mbali. Tusubiri EWURA na bei elekezi

Defense stocks ndio pekee ziko green. South Korean defense companies zinarun 20–30% juu vita kwa ground, profits kwa screen. Hapa ndio makampuni ya silaha faida zianongezeka

Hii ndio reality ya geopolitics kwa market risasi zikilia, financial charts zinatikisika. Money haipendi uncertainty
 
Mkuu upo sahihi sana.
Trump yupo dilemma.
Trump yupo katika hali kusitasita(indecision).

Trump yupo kwenye decision paralysis , anashindwa kufanya uamuzi kwa sababu ya hofu ya kufanya kosa.

Trump sasa ana internal conflict.

Trump yupo katika hali ya sintofahamu.

Yotte hayo unagundua mikutano yake anayofanya na media na mambo anayoandika huko mitandaoni.

Netanyahu pia anapitia hali hii.

Kama usemavyo, usimdharau adui yako.
Hata press yake ya Jana Trump hana confidence kabisa sababu hii vita inaweza kuwa card mbaya kwake maana Wananchi , wapinzani , media na mataifa makubwa hawajapendezwa na kuunga mkono hii vita .

Ikiishia pabaya kashajikanyaga maana atapigwa spana balaa na ikizidi kuchukua muda mrefu ni mbaya sana kwake maana ndio anachochea moto wa wakosoaji .
 
💥💥💥💥
Jeshi la israel: Tumeshambulia mmoja wa makamanda wa juu wa jeshi la Iran muda mchache uliopita
 
Back
Top Bottom