Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

The buildings targeted at the complex included Iran's presidential bureau, the headquarters of Iran's Supreme National Security Council, a compound used by Iran's "most senior forum" for meetings, as well as an "institution for training Iranian army officers," according to the IDF.

"The leadership complex of the terror regime is one of the most secured assets in Iran and spans many streets in the heart of Tehran," the military says, describing it as the "most important and central headquarters for the Iranian terror regime."
 
Iran watumie hizo hypersonic kuharibu airbase za Israel tofauti na hapo kazi wanayo

kama wanaweza kupiga makazi ya watu,kambi za jeshi za USA wanashindwa nini kuzuia ndege za Israel?
POPO_ MWEWE NA MAPUNDI YAMEPANDA HEWANI___Kwa sasa mchana na usiku hakuna tofauti kubwa sana_ ...jpg
 
Iran watumie hizo hypersonic kuharibu airbase za Israel tofauti na hapo kazi wanayo

kama wanaweza kupiga makazi ya watu,kambi za jeshi za USA wanashindwa nini kuzuia ndege za Israel?
View attachment 3551590
Hadi sasa Iran wamerusha Makombora na Drone zaidi ya 2000 less than 200 ndio yameleta impact
 
The buildings targeted at the complex included Iran's presidential bureau, the headquarters of Iran's Supreme National Security Council, a compound used by Iran's "most senior forum" for meetings, as well as an "institution for training Iranian army officers," according to the IDF.

"The leadership complex of the terror regime is one of the most secured assets in Iran and spans many streets in the heart of Tehran," the military says, describing it as the "most important and central headquarters for the Iranian terror regime."
Magaidi ni wale wameua watoto wadogo Palestine.

Kingine Israel yupo kwenyepanic mode, maana vyuma vinafika kila mahali Israel.

Netanyahu analalama wanaua raia, yeye Gaza alikuwa anaua ng'ombe?
 
💥💥💥💥
Jeshi la Israel: siku ya Jana usiku tulishambulia Tehran. Jets 100 zilitumika kuangusha mabomu 250 Kwenye makao makuu ya serikali
Targets zilikua ofisi ya raisi, ofisi ya maka makuu ya baraza la usalama ya kiongozi mkuu, eneo la viongozi wa juu, na taasisi ya mafunzo ya maafisa wa jeshi

Tulilenga sehemu mbalimbali Tehran za viongozi na wafanya maamuzi
20260303_130154.jpg
 
Kwenye Hii vita Subiri kuona Iran inakuwa kama Iraq na Syria
Usichokijua dunia imebadilika..
Propaganda za kummaliza Saddam alizofanya Israel kwamba Iraq wana WMD na uongo mwingi ilifanya nchi 42 kuivamia Iraq.

Leo hii wamerudia propaganda na uongo mwingi kuhalalisha tena kuivamia Iran eti wanataka kutengeneza WMD, sasa wanajikuta wao ndo wapo vitani hata nchi za EU ni kama wamewaacha, unaona hata Spain walimfukuza US alipoomba kutua kwao.

Hivyo usijidanganye. 2003 sio 2026. Nch nyingi zimeusoma mchezo.
 
💥💥💥💥
Jeshi la Israel: siku ya Jana usiku tulishambulia Tehran. Jets 100 zilitumika kuangusha mabomu 250 Kwenye makao makuu ya serikali
Targets zilikua ofisi ya raisi, ofisi ya maka makuu ya baraza la usalama ya kiongozi mkuu, eneo la viongozi wa juu, na taasisi ya mafunzo ya maafisa wa jeshi

Tulilenga sehemu mbalimbali Tehran za viongozi na wafanya maamuzi
View attachment 3551596
Israel ame panic na sasa anapiga hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom