Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Yenye miji underground dunia hii ni FINLAND peke yake. Walijenga kama ikitokea watashambuliwa kinyuklia na Urusi.
Israel ina bunker shelters ambazo haziwezi ku accomodate watu wengi.
Pia zikipigwa kombora lenye warhead ya tani 2 tu zinafukuliwa.
Katizame Beit shemesh uone,ilipigwa Fattah moja hadi hizo bunker zikafumuka na kuua walio ndani.
Hadi Rais Isaac Herzog alienda kutembelea.
Tafuta video zake jamaa machozi yanamtoka huku akiongea.
Duhh 😄
 
Iran hajala kichwa cha hata kamanda mmoja mwandamizi wa IDF.

Israel imeshakula vichwa za viongozi waandamizi karibu wote wa Iran, Hamas, Hizbollah, n.k.

Juzi ndani ya sekunde 30 tu wamekula kichwa cha babu Ayatollah.

Huwezi kabisa kulinganisha mafanikio ya IDF na yale ya ICRG.

Iran inashindwa nini kula kichwa cha Netanyahu ilhali Israel ni sehemu ndogo sana kulinganisha na Iran?

Sasa hivi IDF ikitaka kula kichwa cha Ayatollah mpya, ni sekunde chache tu.

Hata huyo Rais wa Iran wakitaka kumuua, wanamuua muda wowote ule.
Hio ni culture Yao, Leo msemaji wa mambo ya nje wa Iran amefanya press conference kwenye shule iliopigwa mabomu, unafkiri hajui kwamba anaweza kuwa targeted? Ila ashajiandaa na anajua kuna malaki ya watu wanaweza kum replace.

20260303_131014.jpg
20260303_131011.jpg


Angeweza kukaa chini ya Ardhi kwenye Bunker kama Israel wanavyofanya ila as long as wananchi wake hawana protection hio na yeye ataishi kama wananchi wake.

Kitu cha kawaida Sana Iran kwa Raisi ama kiongozi wa Jeshi mkubwa kupanda daladala, ina reflect maisha Yao kama Nchi
IMG-20240503-WA0040.jpg

So wao Kufa washajiandaa na hawana shortage ya replacement as ni nchi ya 3 Duniani kuproduce stem graduates.

So wao Kufa ama kutokufa it means nothing, kwenye vita Kufa kwa kiongozi ama kutokufa it means nothing, Sana Sana akifa kiongozi ndio Dozi inazidi.

Hao wa Israel waache wakae kwenye bunkers zao, Iran yeye taratibu anaharibu legacy Yao yote middle East. Kuanzia Radar, Base za maji, za Anga hakuna iliobakishwa zote zimechakazwa, huko Tel Aviv, Haifa na kwengineko Taratibu kunaanza kuwa Gaza part 2, kuna Faida gani kiongozi kujifisu hujauliwa wakati ulichoapa kukilinda hakipo tena?
 
Hadi sasa Iran wamerusha Makombora na Drone zaidi ya 2000 less than 200 ndio yameleta impact
Ndege za Israel zinapaa na kutua zinafanya payload zinarudi kuwapiga, Iran wameshindwa kabisa kuzizuia

Ukiangalia target za Israel na Iran ni mbigu na ardhi, imagine hayo mashino ya ballistic za Iran yangekua kwenye base za Israel hakuna ndege ingerudi Israel

Command centers,jeshi la maji,vituo vya polisi,wizara karibia zote nyeti,vitu vya habari nk nk vyote viko down Israel na USA wanajipigia tu

USA anatumia mabomu mazito sana, Tehran inamwagiwa mawe sio poa
 
Iran watumie hizo hypersonic kuharibu airbase za Israel tofauti na hapo kazi wanayo

kama wanaweza kupiga makazi ya watu,kambi za jeshi za USA wanashindwa nini kuzuia ndege za Israel?
View attachment 3551590
Sasa kama unarusha missile 150 na 146 zinazuiwa huwezi kuwa na madhara. Kama kila missile ingekuwa inafika sasa hivi vita ingekuwa imeisha.
 
Magaidi ni wale wameua watoto wadogo Palestine.

Kingine Israel yupo kwenyepanic mode, maana vyuma vinafika kila mahali Israel.

Netanyahu analalama wanaua raia, yeye Gaza alikuwa anaua ng'ombe?

Trump kwa mtazamo wa body language yake:


View: https://x.com/MillitaryUpdate/status/2028866157587972523/video/1

Hawezi kujiondoa.
Hawezi kuzungumza na Iran, wameshaona negotiations zinawafanya waumie zaidi na hazina faida kwao
Hawezi kushinda vita hii., atashinda battle lakini siyo total war, kama ilivyotokea amepoteza support ya allies wake, EU wanamchora kwa mbali
Hawezi kusimamisha vita hii, ni aibu kujitoa kwa sasa
Hawezi kufanya mabadiliko ya utawala.
Unamtoa Ayatollah mmoja anaingia Ayatollah mwengine, wako zaidi ya 20 wameshaandaliwa
Amenaswa katika vita hii na Iran, hana end game zaidi ya kutegemea uprising ya wananchi wa Iran kuung’oa utawala uliopo kitu hakijafanyika mpaka sasa

Hii ndiyo hutokea unapomdharau adui yako.

Iran imevunja kiburi chake kwa makombora na ndege zisizo na rubani chache tu. Licha ya sifa za Iron Dome bado makombora yanatesa Israel na hizo base zake ambazo kwake zilikuwa first line of defence kwa early warning na kutumika kama refuelling stations na complex strategic fronts

FUNZO: Usimdharau kamwe adui yako, bila kujali wewe ni mwenye nguvu kiasi gani
Mfano US vs Vietnam, US vs Somalia warlords kina Gen Aided na Afghanistan vs USSR na hiyo ya Israel na Hamas walimaliza kwa mazungumzo kupata mateka
 
Hio ni culture Yao, Leo msemaji wa mambo ya nje wa Iran amefanya press conference kwenye shule iliopigwa mabomu, unafkiri hajui kwamba anaweza kuwa targeted? Ila ashajiandaa na anajua kuna malaki ya watu wanaweza kum replace.

View attachment 3551598View attachment 3551599

Angeweza kukaa chini ya Ardhi kwenye Bunker kama Israel wanavyofanya ila as long as wananchi wake hawana protection hio na yeye ataishi kama wananchi wake.

Kitu cha kawaida Sana Iran kwa Raisi ama kiongozi wa Jeshi mkubwa kupanda daladala, ina reflect maisha Yao kama Nchi
View attachment 3551600
So wao Kufa washajiandaa na hawana shortage ya replacement as ni nchi ya 3 Duniani kuproduce stem graduates.

So wao Kufa ama kutokufa it means nothing, kwenye vita Kufa kwa kiongozi ama kutokufa it means nothing, Sana Sana akifa kiongozi ndio Dozi inazidi.

Hao wa Israel waache wakae kwenye bunkers zao, Iran yeye taratibu anaharibu legacy Yao yote middle East. Kuanzia Radar, Base za maji, za Anga hakuna iliobakishwa zote zimechakazwa, huko Tel Aviv, Haifa na kwengineko Taratibu kunaanza kuwa Gaza part 2, kuna Faida gani kiongozi kujifisu hujauliwa wakati ulichoapa kukilinda hakipo tena?
Acha mambo yako yaani wamelenge msemaji kama msigwa tu, hizo press na matembezi afanye kiongozi wenu mpya au mwenye madaraka kama anavyofanya netanyahu kwa waganga!!
Kiongozi wenu tangu achaguliwe yuko shimoni hajawahi ona hata jua maana siku akiliona amekwisha😎
 
Back
Top Bottom