City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Jeshi la Israel limetoa tangazo watu warudi mtaani
Jeshi la Israel limetoa tangazo watu warudi mtaani
Iran hajala kichwa cha hata kamanda mmoja mwandamizi wa IDF.We unahisi Iran wanajuaje sehemu Fulani kuna Bunker, sehemu Fulani CIA wamejificha, sehemu Fulani wanajeshi waliokimbia kambi wapo etc.
Wakati wanapiga base za Marekani, Askari walikimbia wakapewa hifadhi kwenye Hotel, Ghafla tunaanza kusikia Drones zinapiga Hotel na watu wanadondoshwa.
Huko Israel kila anapopiga ni sehemu Muhimu, Hapo Barsheba hatujui kapiga nini ila viongozi kibao wametoka na kwenda emergency kubwa soon tutajua madhara.
Na wao pia wapo vizuri ndio maana kila kichochoro cha Israel wanakijua.
Ukikaa kuangalia media za Magharibi kamwe huwezi one KAZI ya Handala, hao jamaa niliwavulia kofia walitoa mpaka video za wale Mawaziri shoga wa Israel, na wanadai tayari Wana Video za Trump za Epstein, take your time wafollow twitter ama soma habari zao.
Watamkumbuka Ayatollah, huyu bomb la nuclear anatengeneza si muda.You get what you ask for.
View attachment 3551427
Huyu ataimaliza kweli hii 2026?Watamkumbuka Ayatollah, huyu bomb la nuclear anatengeneza si muda.
Hukusikia Trump aliposema Iran ikimuua kuna maagizo ameacha?Huyu ataimaliza kweli hii 2026?
IDF wakimtaka ni suala la dakika chache tu.
Waulize Israel wakuambie kwa nini inawaua….Hukusikia Trump aliposema Iran ikimuua kuna maagizo ameacha?
Unaweza kuniambia kwanini Israel inaua wenzake kiasi hiko? Kushtukiza, kuvizia na kutegea vilipuzi? Wamekosea nini hao waajemi?
The United States attributes the worsening of relations to the 1979–81 Iran hostage crisis, Iran's repeated human rights abuses since the Islamic Revolution, different restrictions on using spy methods on democratic revolutions by the US, its anti-Western ideology, its nuclear program, and its funding of terrorist ...Unaweza kuniambia kwanini Israel inaua wenzake kiasi hiko? Kushtukiza, kuvizia na kutegea vilipuzi? Wamekosea nini hao waajemi?
Kama Kuna raia muirani anaye jitambu hawezi kufurahia hii kwa Sababu nchi inaenda kuwa kibogoyo kwenye medani za kivita💥💥💥💥
Centicom pia wemeweka orodha ya sehemu wanazopiga huko Iran
View attachment 3551397
Mashambulizi ya Israel ni ya Moja kwa Moja. Dhidi ya vifaa na mifumo inavyo tumiwa na WA Iran. So mashambulizi ya Iran lazima yapungueMtaalam leo Iran hashambulii au
Sawa RAIA anajitambuaKama Kuna raia muirani anaye jitambu hawezi kufurahia hii kwa Sababu nchi inaenda kuwa kibogoyo kwenye medani za kivita
Ile nuclear program wanaigeuza vumbi muda huu, sijui kama ataweza kujenga nyingine and if he survives this warWatamkumbuka Ayatollah, huyu bomb la nuclear anatengeneza si muda.
Chai ya aiDah ila IRANFootage shows locals approaching an American F-15 pilot who ejected over Kuwait.
Kushambuliwa kambi za jeshi zote za US middle east na vifo vya askari wa US hakuna madhara.
Tel Aviv inavyopigwa licha ya media kuficha hakuna madhara?