City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel muda huu inashambulia Tehran
Israel muda huu inashambulia Tehran
Leo Iran katulia nafikiri wakimaliza kula Daku Wayahudi watakiona cha moto.Mtaalam leo Iran hashambulii au
Amesema anafunga mfereji wa Hormuz.Leo Iran katulia nafikiri wakimaliza kula Daku Wayahudi watakiona cha moto.
kipenzi chao na Busu la Kenge lazima awa teteeLeo Iran katulia nafikiri wakimaliza kula Daku Wayahudi watakiona cha moto.
Fuatilia, Iran ina hack mpaka simu za wasaidizi wa Netanyahu..Yaani Iran bana….nimewadharau sana.
Hayo yote kwa nini hawakuya anticipate?
Yaani hawakujua kuwa electronic devices zinaweza kudukuliwa?
Hapo ndipo ninapomvulia
Kofia Osama.
Jamaa aliwahenyesha CIA kwa miaka 10!
Sasa mbona hakuna madhara?Fuatilia, Iran ina hack mpaka simu za wasaidizi wa Netanyahu..
Ballistic missile za Iran si mchezo hadi Trump kazisifia kajikuta anasema 'they are making pretty good ones'kipenzi chao na Busu la Kenge lazima awa tetee
Wakisha hack nini kinatokea? Unakumbuka kilichowatokea Hezbollah?Fuatilia, Iran ina hack mpaka simu za wasaidizi wa Netanyahu..
Bado zamu yenu Busu la Kenge, mshamba_hachekwi, Half americanBallistic missile za Iran si mchezo hadi Trump kazisifia kajikuta anasema 'they are making pretty good ones'
Mcheki mwamba kipenzi chetu cha dhati mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya dhulma, ukandamizaji na uonevu.kipenzi chao na Busu la Kenge lazima awa tetee
Wanasikilia mipango yao.Wakisha hack nini kinatokea? Unakumbuka kilichowatokea Hezbollah?
Anajua anakufa kwahio hataki kifa mwenyewe. Washafunga Hormuz strait wamesema kitakachopita watakiwasha moto. Trump kasema washazamisha meli za kivita za Iran kama kumi hivi.Amesema anafunga mfereji wa Hormuz.
Their next move anaweza akaamua kufanya fujo vituo vyote vya mafuta na gesi, na kushambulia meli, badala ya kushambulia Israel sana
Hahahahahaaaaa GTLeo Iran katulia nafikiri wakimaliza kula Daku Wayahudi watakiona cha moto.
Hizi story za huyo Iman Hussein huwa ni za kweli au chai?Mcheki mwamba kipenzi chetu cha dhati mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya dhulma, ukandamizaji na uonevu.
View attachment 3551415
View attachment 3551416
Ni za kweli mkuu. Mcheki mwamba hapo chini.Hizi story za huyo Iman Hussein huwa ni za kweli au chai?
Iran bhana wanapiga hadi DXB aitport sehemu hata hazihusiani na jeshi.
Achana na huyo kichaa atakutoa kwenye reli. Shusha updates sasaHizi story za huyo Iman Hussein huwa ni za kweli au chai?