100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Ni sawa.Iran bhana wanapiga hadi DXB aitport sehemu hata hazihusiani na jeshi.
Wao ni wadhamini wakuu wa haya yanayoendelea.
KWa hio Israel pale Gaza alikuwa anapiga kambi za jeshi?
Ni sawa.Iran bhana wanapiga hadi DXB aitport sehemu hata hazihusiani na jeshi.
Kushambuliwa kambi za jeshi zote za US middle east na vifo vya askari wa US hakuna madhara.Sasa mbona hakuna madhara?
Madhara ya Israel kwa Iran tunayaona….
Two wrongs do not make a right. Anashambulia airport sio sawa. Apige hizo base za USA.Ni sawa.
Wao ni wadhamini wakuu wa haya yanayoendelea.
KWa hio Israel pale Gaza alikuwa anapiga kambi za jeshi?
View attachment 3551418
Chief kuna muda humu mtu anatoa mawazo yake unaishia kuchekaNi sawa.
Wao ni wadhamini wakuu wa haya yanayoendelea.
KWa hio Israel pale Gaza alikuwa anapiga kambi za jeshi?
View attachment 3551418
Base kamaliza.Two wrongs do not make a right. Anashambulia airport sio sawa. Apige hizo base za USA.
We unahisi Iran wanajuaje sehemu Fulani kuna Bunker, sehemu Fulani CIA wamejificha, sehemu Fulani wanajeshi waliokimbia kambi wapo etc.Sasa mbona hakuna madhara?
Madhara ya Israel kwa Iran tunayaona….
Sawa.Base kamaliza.
Hao majirani ni washenzi, acha wapigwe wapate akili.
Hamuwezi kufanya njama kuua top commanders karibu 30, wanasayansi, na kiongozi wao, wamewakosea kitu gani?
Hotel ina thamani kuliko uhai wa watu na airport?
Sio kina dada ni shule ya vidudu/msingi, watoto wadogo kabisa.Chief kuna muda humu mtu anatoa mawazo yake unaishia kucheka
Kasahau shule ya kinadada ilio pigwa Iran
Haya washakusikia yameanza huko tayari ving'ora waende kwenye mabunker Yao.Leo Iran katulia nafikiri wakimaliza kula Daku Wayahudi watakiona cha moto.
Hapo aingie na Houthi..Haya washakusikia yameanza huko tayari ving'ora waende kwenye mabunker Yao.
View attachment 3551421
Kwa picha inavyoonesha ni joint attack Hezbollah na Iran.
Vita isikie tu kwa mwenzio.Wangekuwa wanawatoa ambao hawataki vita, mi naona huruma kwa watoto wasiojua lolote..!!
Hivi haiwezekani wakatafutiwa uwanja wa vita wazipige mpaka wachoke. Hii ya kupiga kokote sio nzuri..!! 😥
Mabomu mbona mbali sana.Hivi kuna yeyote humu aliekuwepo wakati mabomu ya Mbagala na Gombs yanalipuka? Unaweza kupata picha kidogo ya kuishi kwenye vita.