Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Iran hajala kichwa cha hata kamanda mmoja mwandamizi wa IDF.

Israel imeshakula vichwa za viongozi waandamizi karibu wote wa Iran, Hamas, Hizbollah, n.k.

Juzi ndani ya sekunde 30 tu wamekula kichwa cha babu Ayatollah.

Huwezi kabisa kulinganisha mafanikio ya IDF na yale ya ICRG.

Iran inashindwa nini kula kichwa cha Netanyahu ilhali Israel ni sehemu ndogo sana kulinganisha na Iran?

Sasa hivi IDF ikitaka kula kichwa cha Ayatollah mpya, ni sekunde chache tu.

Hata huyo Rais wa Iran wakitaka kumuua, wanamuua muda wowote ule.
Hufuatilii habari bro.
Makamanda wawili na kiongozi wa serikali mmoja Israel wameuliwa jana.
 
-Ripoti zinasema aliyelenga Aramco oil refinery SIO IRAN na Iran imekanusha. Uchunguzi umemkamata Israel red handed kuwa yeye ndiye aliyelipua na kusingizia Iran ili kuivuta Saudi Arabia vitani.
Pia Israel imekamatwa wakijaribu ku plant mabomu kwenye vitega uchumi muhimu Riyadh ili wasingizie Iran.

Kuamkia Alfajiri ya leo Tel Aviv,Haifa na Occupied territories zilipokea kipigo.
 
Balozi ya Marekani Riyadh imegeuzwa majivu.
Nendeni mkatizame pic huko Tel aviv haitamaniki.
Vifo vya wanajeshi wa USA idadi inaongezeka leo wamehakiki vifo 6 toka jana kuwa vitatu.
Waache wafiche watasema tu.
 
Eti ubalozi umekuwa majivu 😀😀😀😀
 
Balozi ya Marekani Riyadh imegeuzwa majivu.
Nendeni mkatizame pic huko Tel aviv haitamaniki.
Vifo vya wanajeshi wa USA idadi inaongezeka leo wamehakiki vifo 6 toka jana kuwa vitatu.
Waache wafiche watasema tu.
Wairan wamekufa wangapi?
 
Ni sawa.
Wao ni wadhamini wakuu wa haya yanayoendelea.
KWa hio Israel pale Gaza alikuwa anapiga kambi za jeshi?
View attachment 3551418
Wajinga wamelipua ARMCO na Iran wamesema na bado ,nawaona Wahouth nao wakinunua ugomvi.Hii zone yote ya Middle East sasa hivi haina utulivu. US fala kaona ana uhakika na mafuta ya wizi ya Venezuela,kaamua akichafue akijua atayapa tabu mataifa mengine, then yeye ataanza kuuza mafuta ya wizi ya Maduro,huo mfereji wa Hormuz hakipiti kitu.
 
Back
Top Bottom