Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Huu ni zaidi ya unyama, kwa sifa za trump Iran kazi anayo
WILD_ Another approximately 20 US Air Force refueling tankers are en route to the Middle East(...jpg
 
-Ripoti zinasema aliyelenga Aramco oil refinery SIO IRAN na Iran imekanusha. Uchunguzi umemkamata Israel red handed kuwa yeye ndiye aliyelipua na kusingizia Iran ili kuivuta Saudi Arabia vitani.
Pia Israel imekamatwa wakijaribu ku plant mabomu kwenye vitega uchumi muhimu Riyadh ili wasingizie Iran.

Kuamkia Alfajiri ya leo Tel Aviv,Haifa na Occupied territories zilipokea kipigo.
Houth hao.
 
Gulf states are reportedly begging Trump to end his war on Iran

The clock may be running faster for America's allies in the region. Well-sourced reports claim Gulf states are already begging the US president to end this soon, not least because their stocks of air defence missiles are dwindling worryingly quickly.


Hata US mwenyewe nasikia kaishiwa anataka kuhamisha Air defense za THAAD Zilizoko S.Korea kuongeza nguvu. Waarabu anawaambia wapambane na hali zao.
 
Back
Top Bottom