matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Iran. Nchi yoyote ya kiarabu itakayothubutu kuishambulia Iran. Majumba ya kifalme ya nchi hiyo yatageuka masizi ( yatashambuliwa)
Yaani vita ya Iraq iliwacost miaka 8 dhidi ya Nchi Moja tu !? Ingawa wao walikuwa wapo kibao na team nzima ya NATO !?China,Urusi na North Korea wanajiandaa kutoa msaada wa silaha,hii vita inaweza kwenda hata miaka zaidi ya ishirini nchi za NATO uchumi wao kwa sasa haupo stable Corona na vita ya Ukraine zimetetemesha chumi zao,naona waliotoka front UK na France, ila France maneno tu sababu makoloni yake Africa mengi yamemgomea hana pakuiba resources, Spain jana kakataa ndege yoyote ya US kutua kwenye ardhi, yake US alitua ndege yake jana akaambiwa aondoke atafute sehemu nyingine. Hii vita US atapigana yeye na Myahudi, Germany naona kanyuti sijamsikia akiongea. Maana vita ya Iraq US na wenzake wa NATO iliwachukua miaka nane ,ila hii ngoma inaweza kwenda hata miaka hamsini.
-Kim Jong Un "tunafungua milango kwa Iran wakihitaji msaada wa silaha tupo tayari kuwapatia silaha aina yeyote wanayohitaji".
-USA yawaomba Kurdish fighters kupambana pamoja nao dhidi ya Iran.
Mpaka sasa Israel inakwenda kufeli hii vita, maana ground hawana uwezo kupambana na Hezbollah.💥💥💥💥
Jeshi la Israel laingia Lebanon(ground invasion)
Aliwaambia Waisrael watapata mateka na kuifuta Hamas, kilichotokea ni vita ya muda mrefu na kukubali kubadilishana mateka, Netanyahu muongo.💥💥💥💥
Netanyahu: Nilisema itakua haraka na ya kimaamuzi. Itachukua muda kidogo lakini sio muda mrefu sana
Nchi 42, operation desert storm.Yaani vita ya Iraq iliwacost miaka 8 dhidi ya Nchi Moja tu !? Ingawa wao walikuwa wapo kibao na team nzima ya NATO !?
So wanatoaga wapi guts za kumcheka Russia kuhusu Ukraine!?
Ngoja tusubiriAliwaambia Waisrael watapata mateka na kuifuta Hamas, kilichotokea ni vita ya muda mrefu na kukubali kubadilishana mateka, Netanyahu muongo.