joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
China,Urusi na North Korea wanajiandaa kutoa msaada wa silaha,hii vita inaweza kwenda hata miaka zaidi ya ishirini nchi za NATO uchumi wao kwa sasa haupo stable Corona na vita ya Ukraine zimetetemesha chumi zao,naona waliotoka front UK na France, ila France maneno tu sababu makoloni yake Africa mengi yamemgomea hana pakuiba resources, Spain jana kakataa ndege yoyote ya US kutua kwenye ardhi, yake US alitua ndege yake jana akaambiwa aondoke atafute sehemu nyingine. Hii vita US atapigana yeye na Myahudi, Germany naona kanyuti sijamsikia akiongea. Maana vita ya Iraq US na wenzake wa NATO iliwachukua miaka nane ,ila hii ngoma inaweza kwenda hata miaka hamsini.