Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Nchi za gulf state zilishirikiana na Saudi kuomba US kuishambulia Iran, wakionaIran ni kama tishio .

Kumbe Saudi Arabia na gulf states wanahusika na njama za kushirikiana na Israel kuiomba US kuvamia Iran kijeshi.

Mwezi uliopita Mohamed Bin Salman kiongozi wa Saudi alimpigia simu Trump mara kadhaa akimuomba kuishambulia Iran.

Benjamin Netanyahu pia aliendelea na kampeni yake ya muda mrefu kuiomba US kuishambulia Iran.

Aisee kumbe ndio maana Iran inapiga UAE, Saudi n.k
Kumbe jamaa snitches.
Kuna taarifa nimeona kuwa meli za kivita za Iran zinaelea kama maboya coco beach hii unaizungumziaje!!
 
Trump anaonekana kama kakurupuka lakini kwa jicho a tai la kuona mbali akifanikiwa atakuwa kazipiga bao China na Russia kwa asilimia kubwa sana. Na ile sentensi make America great again ndio itaeleweka vizuri. Kiukweli locha ya kuipenda Iran hapa haiwezi kuchukua siku 90 bila kukata moto.

Nawapongeza kwa kujitetea. Nimeona video x kitu kizito sana kinetic kwa mzayuni ukubwa wa use motor wa mlipuko na kipenyo chake hadi moyo umelipuka umemfikia hadi mchukua video aliyekuwa mbali.

Iran unafeli lakini unafeli kiume. Sio kama Sadam
 
💥💥💥💥
Centicom: siku mbili nyuma Iran walikua na meli zaidi ya 11 kwenye ghuba ya Oman, lakini kwa sasa hawana hata moja. Serikali ya Iran ilikua ikitishia na kushambulia meli za kimataifa zinazopita hapo, kwa sasa hawana tena huo uwezo
Kama hawana tena huo uwezo mbona silaha za USA zimekimbiziwa Cyprus? Vessel ya Oman imelipuliwa jana So waliolipua Hezbolah au? Abraham lincolin carrier yaliyomkuta huyaongelei.Kule kuwait jets 3 was shot down.Pathetic
 
20260302_233838.jpg

Seems like jamaa Wana plan kukata mabomba ya mafuta, sio Tu Meli kuzuiwa.

Haya tujiandae lita ya mafuta 5000-10,000
 
Back
Top Bottom