Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ni kwamba leo Iran kasi yake imepungua sana au?
Ushaambiwa wametoa onyo watu waondoke Israel, Silaha mpya zinakua Tested, tulia tumalize tarawehe Kwanza.

20260302_211506.jpg
 
Kama itabaki kuwa Jamuhuri ya Kiislam ya Iran, Iran haiwezi kuanguka. Ni kama ilivyo kwa hamas. Gaza ilichakazwa ila Hamas ipo. Ipo miyoyoni mwa watu. Na Iran hali kadhalika nao wapo hivyo hivyo. Ni wachache wanautaka Umagharibi.
Mimi ni shabiki wa Iran cause naichukia USA kutokana na mwenendo wa siasa zake but honestly sipendezwi na siasa za kidini zimepitwa na wakati mnooo siasa za kidini zimefubaza watu wengi sana kiakili na upumbavu
 
Bongo tuna vipaji mtu anachambua intelijensia ya Iran na USA kama mechi ya Simba na Yanga , na makombora yote mtu anayachambua kama anakunywa kahawa . Serikali iwakusanye wachambuzi wetu watumie uwezo wao kusaidia Taifa kusonga mbele.
🤣🤣🤣🤣
 
Ushaambiwa wametoa onyo watu waondoke Israel, Silaha mpya zinakua Tested, tulia tumalize tarawehe Kwanza.

View attachment 3551267
Hawa jamaa ndio wale hacker wa Iran, jamaa ni hackers wa hatari, wanatisha... wali hack iPhone ya chief of staff wa Netanyahu hii december 2025, wakachukua videos, documents n.k wali hack na iPhone ya former Israel prime minister, jamaa wame hack viongozi wengi sana wa Israel... wali hack na research center...

Kuna watu wapo vizuri...
 
Mimi ni shabiki wa Iran cause naichukia USA kutokana na mwenendo wa siasa zake but honestly sipendezwi na siasa za kidini zimepitwa na wakati mnooo siasa za kidini zimefubaza watu wengi sana kiakili na upumbavu
Screenshot_20260302_213028_Chrome.jpg


Screenshot_20260302_210640_Chrome.jpg


The west ni washenzi sana mkuu,

Na hawa jamaa mtu akiwa hajawastukia wanalaghai sana kutwa kujinasibu wanaupendo. --- binafsi huwa nawaita upengo gang
 
Ila trump aliposema kwamba Iran wameomba ceasefire umeamini !?

Wewe jamaa mbona Kila taarifa njema za Iran unaziita kuwa ni uongo !? Na taarifa sahihi ni zako tu !?
ndio umshangae nawewe! labda mwenzetu yupo ndani ya Iran au juu angani ana-Count Kila kombola na linapotoka.....
 
Hawa jamaa ndio wale hacker wa Iran, jamaa ni hackers wa hatari, wanatisha... wali hack iPhone ya chief of staff wa Netanyahu hii december 2025, wakachukua videos, documents n.k wali hack na iPhone ya former Israel prime minister, jamaa wame hack viongozi wengi sana wa Israel... wali hack na research center...

Kuna watu wapo vizuri...
Yep, hao ndio wanamfanya Netanyahu atembee na simu huku kafunga magundi kwenye camera.
 
Back
Top Bottom