Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kuanguka kwa Gadaffi rasmi kulitamatisha utawala Libya,hivyo kwa Sadaam,Assad. Swali kwa nini kuanguka kwa Babu mpaka sasa hali imekua tofauti ? Tusubiri labda hali itabadilika ? Au Babu na uongozi wake mzima walibaki kama mapambo tu tayari madaraka walikwisha kabidhi muda mrefu sana kiasi cha kutokuleta athari za haraka mpaka sasa katika kuharakisha anguko la utawala ?

Au Iran ime prove wrong kuwa ni. nchi ya kimfumo na sio utawala wa mtu mmoja kiasi kwamba asipokuwepo yete yaanguka ?
Kama itabaki kuwa Jamuhuri ya Kiislam ya Iran, Iran haiwezi kuanguka. Ni kama ilivyo kwa hamas. Gaza ilichakazwa ila Hamas ipo. Ipo miyoyoni mwa watu. Na Iran hali kadhalika nao wapo hivyo hivyo. Ni wachache wanautaka Umagharibi.
 
Ngoma mbichi hii Hezbollah washaingia, Bahrain nako kushaanza kunuka, Raia wameingia mtaani Fujo, Serikali isipoangalia inadondoka.
Unaandika bila kufikiria sijui mmelishwa nini sasa hezbollah kwa sasa watolea wapi nguvu? Hivi hayo mataifa yote ya kiarabu yaliyorushiwa makombira wakiamua kuingilia vita mtasemaje?
 
Kuanguka kwa Gadaffi rasmi kulitamatisha utawala Libya,hivyo kwa Sadaam,Assad. Swali kwa nini kuanguka kwa Babu mpaka sasa hali imekua tofauti ? Tusubiri labda hali itabadilika ? Au Babu na uongozi wake mzima walibaki kama mapambo tu tayari madaraka walikwisha kabidhi muda mrefu sana kiasi cha kutokuleta athari za haraka mpaka sasa katika kuharakisha anguko la utawala ?

Au Iran ime prove wrong kuwa ni. nchi ya kimfumo na sio utawala wa mtu mmoja kiasi kwamba asipokuwepo yete yaanguka ?
Mkuu fikiria basi kidogo. Iran kiongozi wao kafa kwenye pigo la kwanza la vita hivyo lazima resistsnce iendelee tofauti na wale wengine.
 
We ushaambiwa camera man akakimbia, screen ikawa blank, ama hujui ukiwa live ukitupa camera chini watu wanaona live kwenye TV? Video ipo mtaani inazagaa kama unataka uletewe.
KWamba video nayo mpaka uombwe ulete
Ila si mnaruhusiwa kusema uongo shekhe
 
Fake news, Wairan ni watu civilized sana hawawezi kupiga targets zinazoweza kusababisha mauaji ya Kimbari
Mkuu mstaarabu alikua Ayatollah Syed Alli Khamenei,walioshika usukani sasa hivi ni makatili kufuru ya rahmani.
Kumuua Khamenei ni big miscalculations.
Maana Khamenei alizuia vitu vingi sana kwa mitazamo ya kiimani,ila hawa wasasa hawako hivyo.
 
Back
Top Bottom