joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Mazungumzo ya nini hali ya kuwa lengo ni regime change?The truth always speaks by itself.
Haiwezekani mtu anakuwa anaanza kukupiga tena anakubonda kwelikweli, halafu anakuomba mazungumzo na wewe kwa akili timamu unaona eti kashindwa.
Mkuu kuwa serious hata kidogo.
Kuna vitu ukisoma huwa vinafurahisha sanaKuna taarifa kuwa kwa kushambuliwa USS Abraham Lincoln imesababisha zile fighter jets zilizokuwa zimetoka kwenye hiyo aicraft carrier zishindwe kurudi. Hivyo zikawa zinakatikiwa mafuta,zikaomba Oman iwaruhusu watue hapo.
Oman imewaruhusu ila Iran imewaamuru Oman kuwa isije ikawaruhusu kuondoka maana hao wametambulika kama wafungwa wa kivita na Iran iko mbioni kuwafuata hao marubani.
Swali,Je Oman itakiuka ama itatii!?
Ikikiuka Iran imeahidi kuwashambulia Oman kuwa wameshiriki vita dhidi yake.
Safi sana.Kuna taarifa kuwa kwa kushambuliwa USS Abraham Lincoln imesababisha zile fighter jets zilizokuwa zimetoka kwenye hiyo aicraft carrier zishindwe kurudi. Hivyo zikawa zinakatikiwa mafuta,zikaomba Oman iwaruhusu watue hapo.
Oman imewaruhusu ila Iran imewaamuru Oman kuwa isije ikawaruhusu kuondoka maana hao wametambulika kama wafungwa wa kivita na Iran iko mbioni kuwafuata hao marubani.
Swali,Je Oman itakiuka ama itatii!?
Ikikiuka Iran imeahidi kuwashambulia Oman kuwa wameshiriki vita dhidi yake.
Kwa hiyo Iran ina launch missiles kutoka underground ?hujui kwamba zingine ziko undeground au na chini ya milima? so unafikiri za underground zinapigika kiurahisi sio?
Chochote atachokifanya huwa mna criticise, naandika Tu japo najua unajua ila unajitoa ufahamu.Ukweli ni kuwa vita ya zile siku 12 Iran alikuwa anarusha sana ballistics, wakati huu naona kama zimepungua
Swali ambalo huwa muda wote najiuliza huwa mnaongopa ili mpate faida ipi?Si maneno yangu Ila Fox news chombo cha Marekani kina report imewalazimu kuondoka Tel Aviv uharibifu wa sasa ni mkubwa kupata kutokea, including hivyo vita vya siku 12.
So whatever they do now ni strategy mpya ambayo Air defense za Israel zipo helpless, kuna video pia zinasambaa kama umeona Kombora badala ya kulipuliwa na interceptor Kombora linalipua interceptor na kupiga target
Hawa Waisrael hii mbinu yao ya kipuuzi hawaichoki tu walijaribu kwenye vita ya mwanzo ikafeli wanaijaribu na sasa tena hovyo kabisa.💥💥💥
Television ya taifa ya Iran imekua hacked na kuweka habari ya Netanyahu akitoa ujumbe wake kwa wairan
View attachment 3550778
Ndio wanaweza ku launch missiles kutoka underground.Kwa hiyo Iran ina launch missiles kutoka underground ?