Jick
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 1,440
- 2,247
Najibu hivi:Siasa za mashariki ya kati nazielewa kwa sehemu kubwa, na nilishaandika nyuzi humu.
Hivyo usije fikiria una deal na mtu asieelewa nini kinaendelea.
12 Days war aliyeomba cease-fire ni Israel kupitia kwa US.
Iran inaweza kupigwa kweli na ikavumilia, lakini Israel haina uvumilivu huo, mitaa inapigwa na watu wanakufa, hili linapelekea ku pressure serikali isimame vita.
Tujipe muda. Nadhani inabidi utathmini uwezo wako wa kuchanganua mambo si mimi.
Trump si ndiye kaanzisha vita na Israel, si wana hasira sana na wanataka regime change, iweje aanze tena kuonyesha nia ya kuwasikiliza Iran?
Kama Iran imekuwa weak kwanini wasiishambulie kwa nguvu zaidi na kuangusha uongozi wa Iran?
Kwa sababu US na Israel wameona hawaendi kufanikiwa zaidi ya hasara, kuepuka aibu anaanza kuwaandaa watu kisaikolojia kwamba Iran imepigwa hadi inakubali mazungumzo.
Na niliandika humu kama kutabiri Trump atafanya hivyo.
Kuhusu kuzijua siasa za mashariki ya kati haibadili ukweli kuwa kwa current situation Irani hapigwi, tena anapigwa vibaya mno.
Katika medani za ulinzi na usalama inapofikia adui anakuwa na uwezo wa kupiga makamanda wako jinsi anavyotaka, inafikia hatua mpaka kiongozi mkuu wa nchi anauwawa, halafu unakuwa huna uwezo wa kujibu sawa na ulivyofanyiwa badala yake unaanza kutangatanga unatafuta kupiga sehemu unazoweza. That's simply you're outsmarted.
Kuhusu hayo unayosema sijui nani aliomba au anaomba mazungumzo ni habari ambazo hazitoki kwenye vyanzo rasmi, na wala hazithibitiki waziwazi, kama una chanzo rasmi kiweke hapa, vinginevyo hizo ni hearsay tu.
Kuhusu swala la Israel na US wanaonekana hawaendi kufanikiwa, kwanza kabisa anza kutuambia wewe unajua malengo yao makuu ni yapi?? ili tuone wanavyofeli.
Punguza mahaba na stories ambazo hazina vyanzo vya kuaminika.