Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Tasnim announces the killing of seven senior military officials:General Basiji Mohammad Shirazi, Chief of Staff of the Supreme LeaderBrigadier General Pasdar Saleh Asadi, Deputy of Intelligence of the General Staff of the Armed ForcesGeneral Pilot Mohsen Darreh Baghi, Deputy of Logistics and Support of the Armed ForcesBrigadier General Pasdar Akbar Ebrahimzadeh, Deputy Chief of Staff of the Supreme LeaderBrigadier General Pasdar Gholamreza Rezaeian, Head of the Intelligence Organization of the Law Enforcement ForceBrigadier General Pasdar Bahram Hosseini Motlagh, Head of Planning and Operations Department, Operations Deputy of the General Staff of the Armed ForcesBrigadier General Pasdar Hassanali Tajik, Head of Logistics Department of the General Staff of the Armed Forces
 
💥💥💥💥
Iran Imeshanbulia kwa makombora eneo la negev - Israel
Screenshot_20260301-230435_1.jpg
 
Hawa Waisrael hii mbinu yao ya kipuuzi hawaichoki tu walijaribu kwenye vita ya mwanzo ikafeli wanaijaribu na sasa tena hovyo kabisa.

Wao kama hawaitaki Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wapeleke jeshi lao la ardhini wakauong'oe utawala waache kuwapa kazi ngumu Wairan kwa faida zao
Sijui wanachowaza mkuu, ngoja tusubiri
 
Hiki nachoona mpaka sasa baada ya kuunganisha nguvu mbili kati ya Marekani na Israel, Marekani ananipa mashaka makubwa niliyokuwa sina juu yake kwamba ataweza kumpambana na taifa analoelekeana nalo nguvu na lenye uwezo mkubwa wa kiviwanda.

Mpaka sasa Iran hakupaswa kuendelea kufanya anayo fanya mbele ya mataifa mawili yaliyo unganisha nguvu kubwa mbil.

Hivi Marekani akipambana na taifa lenye uwezo wa kurusha missiles mpaka New York atakuwa salama kweli ? Au ndio kama haya anayo kutana nayo Israel ?

Nilikuwa sina uhakika mkubwa kama Russia,China,North Korea wanaweza toana jasho na U.S kwa ukubwa wa jeshi lao ila mpaka sasa wanachofanya yeye na Israel mbele ya Iran isiyo hata na Airforce ya kueleweka napata mashaka makubwa sana kuna siku na yeye yatamkuta ya missiles kutua Washington kama anachokutana nacho Israel.

Sisemi Marekani na Israel wamepigwa hapana kwa sababu bado vita ina endelea dhidi ya Iran ila kwa namna nilivyokuwa nikiwa dogosha Russia,China,North Korea mbele ya U.S naanza kufuta mawazo yangu ya kipuuzi ya awali mpaka sasa Iran ananishangaza kuendelea kupambana na majeshi makubwa mawili yaliyo unganisha nguvu dhidi yake mpaka kufika wakati kuomba support ya Wairan kuangusha utawala
 
Alireza Arafi anafanya kazi yake.
Madaraka yalikuwa yameama muda sana inaonekana si ajabu hata mzee kutoku hofia kifo kwa kiasi kikubwa.

Kuanguka kwa mzee na bado Iran kuendelea kupambana na mpaka utulivu wa kisiasa uliopo umewafanya maadui kuanza kuhack TVs ni alarm kubwa sana kwa Marekani na Israel kuwa Iran tayari ilikuwa imekwisha wapiga chenga ya mwili hapa mpaka sasa
 
Silaha zinatumika kwa bajeti na si kwa mihemko kwasababu haijulikani vita itaisha lini.
Alafu kumbuka sasa hivi anapigana pande nyingi wakati vita ya siku 12 alikuwa anapigana na Israel tu.
Military bases za marekani duniani kote ni kwa ajili ya Military buildup tu ya Marekani mpaka sasa ndicho nilichoona ila kwenye kupambana sijaona bado kwa kweli kitu cha ajabu
 
—❗️🇮🇷 In the past 24 hours, Iran has attacked, directly or indirectly, 15 different countries or their military:

– 🇮🇱 Israel
– 🇺🇸United States
– 🇦🇪 United Arab Emirates
– 🇸🇦 Saudi Arabia
– 🇶🇦 Qatar
– 🇰🇼 Kuwait
– 🇯🇴 Jordan
– 🇮🇶 Iraq
– 🇧🇭 Bahrain
– 🇴🇲 Oman
– 🇸🇾 Syria
– 🇨🇾 Cyprus
– 🇫🇷 France (Camp de la Paix, UAE)
– 🇮🇹 Italy (NATO camp at Ali Al-Salem Base)
– 🇬🇧 United Kingdom (Akrotiri in Cyprus)
 
Chochote atachokifanya huwa mna criticise, naandika Tu japo najua unajua ila unajitoa ufahamu.

1. Mwanzo alikua anarusha mabomu mengi kwa mpigo kudhoofisha mifumo ya Anga na kadhaa yalitunguliwa mengine yalipita watu wengi walikua wakidhihaki ukiwemo wewe, hii ilifanyika kabla na mwanzo wa vita ya siku ya 12

2. Tukapata Taarifa kwenye vita vya siku 12 Ndege ya China imetua Iran probably ilibeba beidou chips, Ghafla Iran akageuza Strategy Kombora mpya zikatumika zenye uwezo wa kutoroka Air defense ya Israel na Yana Chawa wake, Kombora moja likipiga Radius mpaka Mita 100 mtaa mzima unaathirika. Mkaanza tena kusema Iran kaishiwa makombora mbona hatumi tena mengi.

3. Vita ya sasa hivi tunaona vitu vipya Kombora likipiga ni kama msingi wa ghorofa linafumua Hadi bunker
View attachment 3550774
Israel wanaficha Taarifa nyingi ila hizo chache zinazotoka ni maafa makubwa.

Si maneno yangu Ila Fox news chombo cha Marekani kina report imewalazimu kuondoka Tel Aviv uharibifu wa sasa ni mkubwa kupata kutokea, including hivyo vita vya siku 12.

So whatever they do now ni strategy mpya ambayo Air defense za Israel zipo helpless, kuna video pia zinasambaa kama umeona Kombora badala ya kulipuliwa na interceptor Kombora linalipua interceptor na kupiga target.
Kuna mwandishi mmoja wa channel gani sijui ile ya Israel, imeandikwa kiebrania, wakati ana report vyuma vikaonekana angani, jamaa amekimbia kamuacha camera man, camera man na yeye akaona isiwe tabu ya nini kujifia kisa ajira, jamaa katupa camera chini puuh! giza, nduki.

Nilikua naangalia kwenye TV kwa IPTV, ilikuwa live. nitatafuta hio clip kama kuna watu wali record.
 
Back
Top Bottom