Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mi nilishamblock toka vita vilivyopita huwa sipendi watu wanafiki kusema kweli, kwani MTU ukisema pro Iran ama pro Israel kuna ubaya gani?
Tumetofautiana sana pia kwenye siasa za hapo bongo sababu ya kuwa muongo. Kama utataka nikukumbushe yote unayoongopa na mjadala tuliowshi kuweka basi karibu

Kisingizio umeniblock ni kutafuta kichaka Cha kuhalalisha.
Umeshindwa vumilia ukosoaji sababu mijadala yote hasa ya hapa bongo ya kiuchumi na kisiasa ulikua ukiwa muongo sana.
 
Back
Top Bottom