100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Haya sie waongo, naweka jerusalem post... Isije onekana natumia source za Iran.
Israel wanafanya stand off strike kijana...iran na hayo makombora yake kashindwa kutungua ndege hata moja ya israel yani ni ndege zinaenda zinapiga zinarudi tena marubabi ni mademu dah aibu hii
Wanasema tumeshiba futari ya kitimoto.Hii nimeikuta Aljazeera kuna chief alikua anabisha hapa kwamba Trump hakuomba ceasefire hahah
View attachment 3550917
chuma zinaenda zinapiga target na zinarudi safeIsrael wanafanya stand off strike kijana...
Wanakaa mbali na kuachia cruise missiles za air to surface...
Usijidanganye... Marubani wana familia na wanajipenda.
Waambie wazirushe anga la Tehran uone balaa.. Kmmk zitapopolewa zote.. Zikatishe hapo mara mbili tatu..chuma zinaenda zinapiga target na zinarudi safe
ziruke mara ngapi shehe..makamanda zaidi ya 40 washazamishwa kwenye udongo na kibabu chaoWaambie wazirushe anga la Tehran uone balaa.. Kmmk zitapopolewa zote.. Zikatishe hapo mara mbili tatu..
Hivi hizo video za hizo ndege mbona hatuoni zikikatisha?Fighter jets 200 za Israel zimeingia in one night ndani ya Iran zimepiga target zaidi ya 60 za revolutionary guard, na zote zimetoka, Iran hana jeshi ana manati tuu
Supreme Leader and top commanders wa elite revolutionary guard karibu wote wamekuwa eliminated, bado unaamini Iran anaweza kupigana hii vita 🤔Hivi hizo video za hizo ndege mbona hatuoni zikikatisha?
Hypersonic za Iran tunaziona..
Hizo ndege 200 zote videos zake mbona hatuoni?
Huelewi maana ya stand off strike?ziruke mara ngapi shehe..makamanda zaidi ya 40 washazamishwa kwenye udongo na kibabu chao
Angekuwa hawezi angekubali ombi la ceasefire la Trump...Supreme Leader and top commanders wa elite revolutionary guard karibu wote wamekuwa eliminated, bado unaamini Iran anaweza kupigana hii vita 🤔