Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ngoma mbichi hii Hezbollah washaingia, Bahrain nako kushaanza kunuka, Raia wameingia mtaani Fujo, Serikali isipoangalia inadondoka.
Hezbolla walisema mapema siku 3 nyuma wataingia vitani Khamenei akilengwa.

Israel wakasema watalenga Lebanon.

Kupigwa raia Lebanon ndicho kitu kinafanya Hezbollah kuwa wapole. Kama wametangaza kuingia ni shughuli hapo, Hamas nao wataunga nyuma then houthis... Hapatoshi hapo.
 
Kuna mwandishi mmoja wa channel gani sijui ile ya Israel, imeandikwa kiebrania, wakati ana report vyuma vikaonekana angani, jamaa amekimbia kamuacha camera man, camera man na yeye akaona isiwe tabu ya nini kujifia kisa ajira, jamaa katupa camera chini puuh! giza, nduki.

Nilikua naangalia kwenye TV kwa IPTV, ilikuwa live. nitatafuta hio clip kama kuna watu wali record.
dah shehe ubwabwa ukipiga daku ya nguruwe unakuaga muongo kweli? sasa aliyekua anawarekodi huyo mwandishi wa habari na huyo camera man alikua ni nani? yeye ndo alikua haogopi sio?
 
dah shehe ubwabwa ukipiga daku ya nguruwe unakuaga muongo kweli? sasa aliyekua anawarekodi huyo mwandishi wa habari na huyo camera man alikua ni nani? yeye ndo alikua haogopi sio?
We ushaambiwa camera man akakimbia, screen ikawa blank, ama hujui ukiwa live ukitupa camera chini watu wanaona live kwenye TV? Video ipo mtaani inazagaa kama unataka uletewe.
 
We ushaambiwa camera man akakimbia, screen ikawa blank, ama hujui ukiwa live ukitupa camera chini watu wanaona live kwenye TV? Video ipo mtaani inazagaa kama unataka uletewe.
Achana nae huyo myahudi mweusi.
Vitu vya kawaida hivyo vitani.
Watu wanashuka wanaacha gari mlango wazi kukimbia kwenye shelter ye anadhani mchezo...
 
Achana nae huyo myahudi mweusi.
Vitu vya kawaida hivyo vitani.
Watu wanashuka wanaacha gari mlango wazi kukimbia kwenye shelter ye anadhani mchezo...
ushajishibia wewe sa hizi unahema juu juu tu. wenzako huko wako wanakula kichapo
 
Wayahudi wanalia huko kwa nini Iran avunje makubaliano ya Geneva convention?
Iran wanapiga clustet sub- monitions warhead.. Bomu moja linapiga target 80..

Kama unaona mie muongo nikupe source...

Mnafikiri mchezo.
iran na hayo makombora yake kashindwa kutungua ndege hata moja ya israel yani ni ndege zinaenda zinapiga zinarudi tena marubabi ni mademu dah aibu hii
 
Back
Top Bottom