Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel imeomba angalau makobora yaanze kupigwa baada ya saa tisa usiku ili kuwapa raia muda kidogo wa kulala. Kitendo cha kukubali kinaonyesha Ayatollah mpya kidogokidogo anaanza kuwa soft. Hii ni kwa mujibu wa David Kayes msemaji wa zamani wa Waziri mkuu wa Israel
waache kulialia, watulie sindano iingie
 
Kuna F-15E ya US imepigwa huko Kuwait, pilot ame eject.
Haijulikani imepigwa na kina nani.

Pilot na Systems weapon officer wamepatikana wakiwa salama.
Screenshot 2026-03-02 100151.png
 
Ukiona mpaka mkuu wa nchi wa taifa kubwa lenye nguvu za kijeshi anaongea hivyo hali ni mbaya sana na Iran hapoi kabisa, inaonekana zile kambi 27 zilizolengwa na Iran zimeteketezwa vibaya sana na inaonekana ni ngumu kuficha na jana DW chombo cha Magharibi, kimeripoti Meli ya Lincoln imepigwa na mabomu manne ,japo hatujajua kina hali gani. Ila ukimsikiliza Trump hali ni mbaya na hawakutegemea hii retaliation.
Sasa boss, unafahamu vipi kwamba USA hawakutegemea hii retaliation? Kwamba USA ikaue viongozi wakuu wa Iran na isitegemee majibu ya kiwango cha juu? USA hata ikisema hawakutegemea ni political words tu, si kweli, walijiandaa na possibility zote za vita na pengine hata World war ipo kwenye possibility zao. Iran sio nchi za Africa zenye bajeti ndogo kwamba utaipiga usipate impact yoyote.
 
Hamas alikuwa upande wa Iran, Iran leo anaishambulia kila nchi ya Middle East, je baada ya hii vita Issue ya Palestine itakuwaje.

October 7 ilikuwa kosa kubwa la kimkakati
Wapalestina wanafurahi wanapumua kidogo kutokana na manyanyaso ya Myahudi, hayo mabomu yanayopita kwenye anga lao na kuangukia kwa Myahudi,hawaogopi kabisa.

Ndio ipo hivyo rafiki ya adui yako ni adui yako, wewe unazani US akiipiga Russia unazani nchi za ulaya Russia ataziacha? US akiipiga North Korea unazani South Korea ataiacha Kim attachable. Iran yy hadeal na kambi za hizo nchi yeye anatarget, kambi za kijeshi za US na hajali zipo kwenye location gani middle east as long ni kambi ya kijeshi anafumua.
 
Anachofanya Irani kwa sasa ni kupiga kwa kutumia chochote alichonacho na anapiga popote anapohisi panafikika, maana yuko kwa sasa yuko kama simba aliejeruhiwa!

Kuna muda utafika ambao si mrefu sana ataishiwa makombora alafu atabaki kulialia tu.

Mimi namuona mjinga maana anatumia stock yake ya makombora kupiga target zisizo na faida.
 
Sasa boss, unafahamu vipi kwamba USA hawakutegemea hii retaliation? Kwamba USA ikaue viongozi wakuu wa Iran na isitegemee majibu ya kiwango cha juu? USA hata ikisema hawakutegemea ni political words tu, si kweli, walijiandaa na possibility zote za vita na pengine hata World war ipo kwenye possibility zao. Iran sio nchi za Africa zenye bajeti ndogo kwamba utaipiga usipate impact yoyote.
Hawakutegemea kuwa kubwa kiasi hiko, kipindi kile cha vita ya siku kumi na mbili, Iran aliretaliate kwa kushambulia Israel kwa kiwango kikubwa sana,japo aliattack Qatar na Jordan kuwaonyesha uwezo na jeuri ya kushambulia base za US anao.

Walitegemea round hii kwamba Iran angeretaliate kwa style ya mwanzo ,ila yeye kaanza vice versa,kaanza na kambi 27 zakijeshi mchana usiku wake ndio kaanza kurusha mabomu kwa Myahudi na hawakutegema.
 
Back
Top Bottom