Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Pentagon wanajiuliza nani ambae anaye ziongoza hizo silaha na kuziendesha nchini Iran.

Kuna wasiwasi unaoongezeka ndani ya Pentagon na miongoni mwa wanachama wa utawala wa Trump kwamba mgogoro na Iran unazidi kuwa mbaya na kuwa out of control.
 
Trump ameshaanza kukubali na anawaandaa kisaikolojia wamarekani.


View: https://www.instagram.com/reel/DVXrg7ijA6J/?igsh=ZG13YnZ3aXFkcXY5

Wanajiuliza akina nani wapo nyuma ya hizo silaha ambazo zinazidi kuiharibu vibaya Israel.. kibaya zaidi mashambulizi ni makali kuliko hata 12 days war.

Walidhani wataalamu wakubwa na viongozi nyuma ya utaalamu wa kurusha hizo silaha ni wale top commanders walio waua.

Sasa wanatafuta ni nani tena ambae analenga hizo target...

Hadi hapo US na Israel wanaweza badili mkakati kitu kinachokwenda sababisha plan yao yote kuharibika.
 
Israel imeomba angalau makobora yaanze kupigwa baada ya saa tisa usiku ili kuwapa raia muda kidogo wa kulala. Kitendo cha kukubali kinaonyesha Ayatollah mpya kidogokidogo anaanza kuwa soft. Hii ni kwa mujibu wa David Kayes msemaji wa zamani wa Waziri mkuu wa Israel
 
Wanajiuliza akina nani wapo nyuma ya hizo silaha ambazo zinazidi kuiharibu vibaya Israel.. kibaya zaidi mashambulizi ni makali kuliko hata 12 days war.

Walidhani wataalamu wakubwa na viongozi nyuma ya utaalamu wa kurusha hizo silaha ni wale top commanders walio waua.

Sasa wanatafuta ni nani tena ambae analenga hizo target...

Hadi hapo US na Israel wanaweza badili mkakati kitu kinachokwenda sababisha plan yao yote kuharibika.
Ukiona mpaka mkuu wa nchi wa taifa kubwa lenye nguvu za kijeshi anaongea hivyo hali ni mbaya sana na Iran hapoi kabisa, inaonekana zile kambi 27 zilizolengwa na Iran zimeteketezwa vibaya sana na inaonekana ni ngumu kuficha na jana DW chombo cha Magharibi, kimeripoti Meli ya Lincoln imepigwa na mabomu manne ,japo hatujajua kina hali gani. Ila ukimsikiliza Trump hali ni mbaya na hawakutegemea hii retaliation.
 
Back
Top Bottom