Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Netanyahu: viongozi katili wa Iran wanalenga maeneo ya raia, sisi tunawalenga viongozi katili wa Iran ili kulinda raia
 
💥💥💥💥
joseph1989
Netanyahu yupo anakagua maeneo yliyoshambuliwa
Screenshot_20260302-191739_1.jpg
 
Huyu mwehu yupo desperate sana kurudi kuitawala Iran wakati Trump kasema potential candidates wake wote aliopendekeza waitawale Iran kama utawala utaanguka wote wamekwisha uawa.
Mkuu huiyo statement ya Trump ilikua hivyo au mimi sikuielewa(nimesahau)
Sio kuwa alimaanisha viongozi wa juu wa Iran wameuwawa hata walioandaliwa kurithi pia wameuwawa? Correct me if I'm wrong
 
Kwamba Iran uwezo wao wa makombora uliharibiwa vita ya siku 12? Hebu kuwa serious basi, vice versa is true Israel Hana tena Ammunition za kuzuia makombora ya Iran sasa hivi huoni tena makombora ya Iran yakiwa intercepted kwa nguvu. Ndio maana sasa hivi Tel Aviv kila sehemu kunapigika.
Noma sana , na huko nyuma walikuwa wana danganya watu kwamba wana mifumo ya kuzuia mabomu kutua ndani ya Nchi Yao ,

😄😄😄

Wanasiasa waongo sana
 
Wazee kuna aina mpya ya kombora Iran anaendelea kurusha toka leo alfajiri, linapangua makombora ya iron dome halafu linakwenda kuipiga launcher ya iron dome..

Yaani badala ya kombora la iron dome ku neutralize makombora ya Iran, kombora la Iran linaanza na kombora la Iron dome kulilipua halafu inafuatwa launcher iliyolituma... asee kama vita inaelekea huku basi tutashuhudia mengi.. haya ni zaidi ya matusi..


View: https://twitter.com/i/status/2027857349361226104

Noma 🙌🙌

Bomu linakata Kona linaenda kushoto na kulia kufuata bonus la adui !? Aisee waajemi watengwe 😄😄
 
Anayefuata ni China, a paper tiger (mbwa asiye na meno). Na this time milio itakuwa mingi sana, fikiria milio ya Wachina zaidi ya bilioni moja. We will be there to collect their tears.
Kwamba mnaweza kuwapiga wachina !?
 
Back
Top Bottom