Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mtandao upi kasema hivyo?
Hebu tuone screenshot..
Screenshot_20260302-151926_1.jpg
 
mtu kawekwa kati atalipizaje kisasi? Labda ajitupia makombora yake kiholela, hawatamuacha afanye mashambuli mengi watamdhibiti tu. Anapigwa mtungo na mtu mbili. Jua kuwa alipo marekani kwenye vita na uingereza yupo plus ujerumani, ufaransa na italy. NATO wako stand by kuhakikisha mwanachama mwenzao USA hadhaliliki vitani
come again...?
 
Vita vilivyopita walitarget Israel Tu yakaisha, sasa hivi Nchi zote za Gulf, Hadi Cyprus wamefika, Watu wamepiga hotel yoyote Ile inayohifadhi CIA na Mossad, mpaka data Centre za Amazon zimeliwa. Hapo Bahrain pia ni Shia Ila kumetandikwa vibaya mno, na hawapigi bomu moja Tu wakaacha, moshi ukipungua Tu kidogo wanatandika jengine, hio kambi ya Bahrain kwa siku inapigwa mara kibao.
Ni sawa mkuu.
 
Sasa na Kwa akili yako unaona Utawala wa Iran unatakiwa kuwepo

Wenzako Lebanon wamesema ni bora civil war kuliko kuruhusu Hezbollah waendelee na chokochoko

Lebanese Prime Minister Nawaf Salam said on Monday that the government would implement a ban on Hezbollah’s military activities.

Iran amefanya big mistake kushambulia majirani zake kisa kashambuliwa na Marekani na Israel.

Yaani Russia hajawahi hata siku moja kushambulia nchi ya NATO kisa wanasupport Ukraine.

openup ndugu, Iran anachofanya sasa hivi ni issue ya "Sitakubali kufa peke yangu"
Huo ni mtazamo wako.
Urusi ana sera zake na Iran ana sera zake.
Sera ya sasa ya Iran ni kuvunja ushawishi wote wa USA uliopo mashariki ya kati.
Na nikasisitiza pale mataifa mengi ya gulf state raia wao wanafurahia kinachotokea kwasababu hawapendi ushirikiano wa USA na mataifa yao.
-Lebanon hiyo ni kesi ya kisiasa za ndani zaidi,wapo wanaounga mkono Hizbollah kwa kiasi kikubwa na wapo wanaopinga.
Unadhani hao Lebanon wanaipenda Israel!??
Ni mara ngapi Israel imewaonea na Hizbollah ndio imewatetea!?
Sera yao ya sasa Iran washasema wanataka kuondoa uwepo wa USA mid east.
Hiyo kusema kuwa ni last kick of a dying horse huo ni mtazamo wako.
Wao wametangaza wanataka kuondoa US influence.

Kwahiyo ni sahihi kwa gulf states kuunda njama dhidi ya Iran!??
We unaona ni sawa!?
Iran amewakosea nini hao waarabu hadi waunde njama na USA dhidi yake?
 
Ila hao CENTCOM ni waongo balaa, majamaa yanapika habari..
F-15E tatu zimepigwa na US wanasema ni friendly fire, haya sasa Iran wamesema ni wao

Ukiangalia hizo ndege zinapigwa kwa interval.. kama ilipigwa ya kwanza si wangerekebisha hilo tatizo? ikapigwa ya pili, ikapigwa ya tatu... eti zote ni friendly fire...
 
Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumamosi, huku shambulio la kwanza likiripotiwa kutokea karibu na ofisi za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei.

Vyombo vya habari vya Iran viliripoti mashambulizi katika maeneo mbalimbali nchini humo, huku moshi ukionekana ukifuka kutoka katika mji mkuu, Tehran.

Rais wa Marekani, Donald Trump, alisema kupitia video aliyochapisha kwenye mitandao ya kijamii kuwa Marekani imeanza operesheni kubwa za kijeshi nchini Iran. Alidai kuwa Iran imeendelea kuendeleza mpango wake wa nyuklia na ina mipango ya kutengeneza makombora yenye uwezo wa kufika Marekani.

Haikufahamika mara moja kama Khamenei mwenye umri wa miaka 86 alikuwa ndani ya ofisi zake wakati wa shambulio hilo, kwani hajaonekana hadharani kwa siku kadhaa huku mvutano kati ya Iran na Marekani ukiendelea kuongezeka.

Mashambulizi hayo yamekuja wakati Marekani ikiwa imekusanya idadi kubwa ya ndege za kivita na meli za kijeshi katika eneo hilo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuishinikiza Iran kufikia makubaliano kuhusu mpango wake wa nyuklia.

View attachment 3549827View attachment 3549826



----------

Israel launched what it called a “preemptive strike” against Iran Saturday morning, according to Defense Minister Israel Katz, as a state of emergency was declared across the country.

The government declared the state of emergency because of the expectation of Iranian retaliation with drones and ballistic missiles.

The U.S. and Israel launched an attack Saturday on Iran, with the first apparent strike happening near the offices of Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei.

Iranian media reported strikes nationwide, and smoke could be seen rising from the capital.

President Donald Trump said in a video posted on social media that the U.S. had begun “major combat operations in Iran.” He claimed Iran has continued to develop its nuclear program and plans to develop missiles to reach U.S.

It also wasn’t immediately clear whether the 86-year-old Khamenei was in his offices at the time. He hasn’t been seen publicly in days as tensions with the United States have grown. The attack comes as the United States has assembled a vast fleet of fighter jets and warships in the region to try to pressure Iran into a deal over its nuclear program.

Source: CNN
Vimekolea hatari
 
Back
Top Bottom