Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel imeshambulia kwa makombora kambi ya Malik ashtar huko Afsariyeh Tehran
Screenshot_20260302-154745_1.jpg
 
Tuhuma za kifo cha Netanyahu ni ili ajitokeze atupiwe kitu kizito. Inasemekana ilihisiwa yuko kwenye ofisi yake imetumwa Kheibar Shekhan moja hapo na pamegeuzwa korongo la majivu.

Ngoma bado mbichi, Hadi Muajemi akate moto inahitaji achangiwe na dunia
 
Makombora manne 4" ya ballistic 🤠🤠🤠🤠 iran wanapigana kama wamevuta bangi
Wanavuta Bangi huoni US anaomba msaada wa kutumia kambi za washirika wenzake, ile meli ni kama kambi itembeayo baharini ina uwezo wa kubeba meli tisini na inalindwa na meli kumi na yenyewe ina uwezo wa kujilinda na kushambualia. Pamoja na hayo yote bado imepigwa ndio maana US ameomba washirika wake ,apate sehemu kwa ajili ya ndege zake kutua na kujaza mafuta. Hapo ndio ujue hii sio bangi bali ni Calculated Move ambayo imehit target. Hapo bado kambi zake 27 maeneo ya middle East zimepigwa, ndio maana anaomba msaada kwa washirika wa NATO kutumia kambi na meli zao. Mpaka sasa France na UK tayari wanamsupport US,japo UK nae washairipua kambi yake ya Cyprus.

Kila kitu alicho kifanya Iran hakukurupuka, mda huu kuna media ya India ,zinadai mabomu ya safari hii aliyo tumia Iran yana uwezo mkubwa wa kunyumbulika zidi ya mifumo ya ulinzi, yana uwezo wa kupiga na mahandaki na kuya sambaratisha. Iran pamoja na viongozi wao kuangamizwa ila hawakupanic.

View: https://m.youtube.com/watch?v=C058G_GC-h8
 
Washatangaza Jihad. Hivi unavyoongea wanajiandaa kwa mashambulizi makubwa dhidi ya Israel.
Trump ameshatangaza huko kwake yeye vita imeisha kusiwe na mashambulizi mengine.
Unadhani Iran wataruhusu hilo lipite!?
Huyo ni kiongozi wa dini.
Iran kwisha habari yake, walijifanya kujua kumbe hata kiongozi wao wa juu walishindwa kumlinda. Wajaribu sasa kurusha tena kombora hata moja waone
 
💥💥💥💥
Israel imeshambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran
 
Tuhuma za kifo cha Netanyahu ni ili ajitokeze atupiwe kitu kizito. Inasemekana ilihisiwa yuko kwenye ofisi yake imetumwa Kheibar Shekhan moja hapo na pamegeuzwa korongo la majivu.

Ngoma bado mbichi, Hadi Muajemi akate moto inahitaji achangiwe na dunia
Kwa kifupi Iran inamuwinda Netanyahu hivi sasa..
Hawa waliopewa rungu hivi sasa ni jeshi lenyewe..

Ule us3ng3 wake alikuwa anafanya 12 days war wa kutoka kutembelea wahanga kwenye majengo yaliyoporomoka hawezi fanya... ikitokea wanashusha chuma hapo hapo... Israel watamkumbuka Ayatollah ka ustaarabu wake.

Maana waliokabidhiwa rungu hivi sasa wanalitembeza kila mahala, litakapotua ni hapo hapo, likikukosa basi unashukuru Mungu...

Iran imeamua kuonyesha uwezo wake.
 
Back
Top Bottom