Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel wamedhamiria kumuua Naem Qassem kiongozi mkuu wa Hezboullah. He watafanikiwa? Tusubiri
 
💥💥💥💥
Jeshi la Iran limetoa tahadhali ya kuhama kwa watu wote walio karibu na kambi za jeshi Israel
20260302_171354.jpg
 
💥💥💥💥
Video footage: Israel inashambulia kwa makombora Tehran. Milipuko mikubwa
 

Attachments

  • 2026-03-02_17-33-32_0.mp4
    1.3 MB
💥💥💥💥
Jeshi la Israel limetoa taarifa rasmi ya kuuwawa kwa Hussein Maqlad(mkuu wa intelijensia wa hezboullah)
20260302_173559.jpg
 
Back
Top Bottom