Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel imeshambulia kwa makombora Tehran
Screenshot_20260302-174316_1.jpg
 
Sijakataa ila US wanakuwaga wagumu k
sana kutaja idadi ya wanajeshi wao ,ukiona hivyo picha nyingi zimevuja so hawawezi kucontrol.Ukiangalia idadi ya wanajeshi wakati wa vita ya Iraq,Libya na Afghanistan then ukija kusikiliza baadhi ya Podcast ya Maveteran walio pigana vita unagundua kuna vingi vinafichwa sababu kulinda image ya jeshi.So kauli aliyo itoa Trump ni ngumu kumeza,amejitahidi sana kuongea huu ukweli.

Wewe unazani why Myahudi kamuondoa Al Jazeera kwenye ardhi yake? Sababu anajua Al Jazeera wangepost ukweli idadi ya mambomu watu na miundombinu, iliyopigwa.
hilo suala la kuficha taarifa halisi za vita ziko kila sehemu, hata urusi anaficha taarifa zake...huyo iran ndo kabisa usiseme ndo anazima hadi intaneti ili kuzuia taarifa zake zisisambae..sasa anayezima intaneti na ambae hazimi nani ana afadhali?
 
Jeshi la Iran lime claim kushoot Ndege 3 so far, baadhi ya vyombo vya habari vime confirm na Ndege pia zimetambuliwa, marubani wame eject na wamesha kamatwa Kuwait.

Ila Raia walitoa uchungu kidogo wakawapiga kama wezi kabla ya polisi kuja kuwaokoa.

Video ya Raia wakitembeza kichapo
View attachment 3551096

Haya wale wanaosema Anga la Iran linatawaliwa na Ndege za Israel, Ndege zimesogea karibu Tu hapo Kuwait zimeliwa kichwa, unaingiza vipi Ndege 200 Iran zitoke salama?
jeshi la irani ni kama bata asiyeweza kuogelea... vita ya maneno ndo wanaiweza vizuri
 
jeshi la irani ni kama bata asiyeweza kuogelea... vita ya maneno ndo wanaiweza vizuri
Sawa kuna tiketi za bure hapa ukaishi kwenye kambi za Marekani, wenzako wanakimbia huko, wewe huku unajitutumua ni vita ya maneno. Lincoln imekimbilia India, Ndege nyengine zimekimbilia Cyprus etc. kama maneno Yana nguvu hivi then Iran watashinda kwa maneno yao.
 
Back
Top Bottom