Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
U.S iliwahi ingia Vietnam,Korea na kote ikaondoka kwa aibu ilipigana na wachovu kuliko hata huyu Iran sisemi hawawezi kuangusha utawala lakini sio kirahisi hivyo kisa yeye ni U.SNimesoma posts zako, umekuza mambo au pengine una mashaka fulani. Iran lazima ifanye retaliations, hiki anachofanya Iran katika maslahi ya US na Israel kilitarajiwa kabisa.
Hadi sasa nguvu ya kijeshi ya Iran imeshapigwa kwa zaidi ya 85%. Anachofanya Iran ni kutapatapa na kujaribu kuondoa uchungu ambao anao moyoni mwake baada ya mapigo anayokoea.
Take this, kadri siku zinavyozidi kwenda anytime utaona Iran nguvu yake ikishuka chini zaidi, na hapo ndipo mission inakuwa imemalizika.
Mimi nilivyoona US kaingia kazini hapo, nilijua kabisa Iran ndo mwisho wake. US ni kubwa sana saaana kwa Iran, mbali tu na Israel kuwa kubwa kwa Iran.