Toka waseme wanalipua hadi sasa Iran isingekua na silaha.Hizo silaha zishalipuliwa na jet za Israel
Ila cha ajabu Iran ndio kwanza inashambulia na silaha tofauti.
Toka waseme wanalipua hadi sasa Iran isingekua na silaha.Hizo silaha zishalipuliwa na jet za Israel
Kwanini uulize ziko wapi!?Ziko wapi hizo siraha?
Subiri uone wakubwa wakimyoosha!BADO UNAONGEA UTUMBO.
Iran ya 1980 ilikua dhaifu ila ilipigana vita ya miaka nane.
Tena iliwekewa armo embargo hakuna kuuziwa silaha.
Iraq ilipigana ikisaidiwa na USA,USSR na France.
Iran ilipigana VITA YA MIAKA NANE NA IKAIBUKA KIDEDEA.
Hapa tunaongea fact sio POROJO ZAKO ZA MAHABA.
Hujui kama historia huleta clarification ya yasasa na yajayo!??Subiri uone wakubwa wakimyoosha!
Unaleta historia ya miaka 80 kweli?
kwa kuficha hawajamboMandege ya Marekani nasikia yanaanguka hovyo hovyo huko Kuwait 🇰🇼 hata hawajui sababu ni nini.
Unaelewa centrifuges alizonazo Iran anaweza kutumia miezi michache kutengeneza nulear weapon?Unajidanganya bure ndugu!
Iran hata angekuwa na nukes angekuwa ameshaitumia maana ana hasira sana kwa sasa!
Hizo kombora unazoziona ndio za kiwango cha juu alizonazo.
Pale alipo ni sawa na mtu aliekutana na kobra huwezi kusema nitumie kafimbo kadogo alafu hili kubwa nitatumia baadae.
Kumbuka pia kule ndani Israel ana kazi ya kuziwinda hizo siraha na kuzilipua.
Vita pia ni gharama na Iran ilikuwa hoi kiuchumi hata kabla ya vita. Jipe wiki 2 Iran atakuwa ametepeta sana na hutaona kombora hata moja likiruka toka ndani ya Irani kuelekea Israel au kwingineko anakopiga sasa hivi.
AlbadilMandege ya Marekani nasikia yanaanguka hovyo hovyo huko Kuwait 🇰🇼 hata hawajui sababu ni nini.
Ndio maana USA na Israel wana mlipua ili asiweze kufikia huo uwezo!Unaelewa centrifuges alizonazo Iran anaweza kutumia miezi michache kutengeneza nulear weapon?
Ambacho huelewi ni kwamba Ayatollah alikataa hilo, silaha za maangamizi, tokana na dini yake.
Iran ina centifuges za kisasa kama Ir-6, ir-7, ir-8 na ir-9 ambazo hata israel na US wanashangaa wameweza vipi kuzitengeneza, hizi za kisasa zina kasi sana kurutubisha uranium ndani ya muda mfupi.. achana na ir-1, Ir-2, Ir-3 n.k hizo ni centrifuges ambazo ni za kizazi cha kwanza.
Wamefikia 60% ambapo ni karibu sana na 90% (weapon grade).
Maana centrifuges latest kama hio Ir-9, kufikia 90% ni wiki kadhaa.. haichuki hata mwezi.
Kitaalamu uranium ya 30% ni kazi kufikia 60% kuliko uranium ya 60% kwenda 90%, jinsi asilimia za urutubishaji zinavyoongezeka ndivyo kasi na urahisi wa urutubishaji unakimbia kwa kasi.
Ndio maana IAEA huona enrichment ya 60% kama kiwango nyeti sana kisera, maana kugusa 90% ni kugusa.
Ila ingalikuwa wanataka nuclear wangeshakuwa nayo miaka zaidi kumi nyuma, kama kwenye race ya hypersonic technology wameizidi Israel na US itakuwa nuclear bomb? North Korea yenyewe imepewa msaada na Iran kukamilisha project yao ya hypersonic...
Mnaongea unafikiri huu ni mpira wa simba na yanga, haya mambo yanataka usome .. sio unaropoka..
Subiri muda utaongeaHujui kama historia huleta clarification ya yasasa na yajayo!??
Ndio ujiulize miaka ya 80 Iran dhaifu ilidindia mataifa manne makubwa kwa miaka nane.
Je sasa hivi inajiweza itakuaje?
Hadi sasa hivi hawajamaliza kumnyoosha tu!?Subiri uone wakubwa wakimyoosha!
Unaleta historia ya miaka 80 kweli?
Wairan wameshasema, kwasasa HAWAHITAJI MAONGEZI.
Huelewi chochote juhusu mchina nakumbia China hawezi kufanya hicho kitu na hajawahi msadia msaidizi wake hata mmoja.Aisee we kijana unaongea utumbo na hisia sana.
Aliyetamka hiyo kauli ni WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA.
Inuka nenda China mwambie "Muheshimiwa waziri,kamwe China haiwezi kufanya ujinga kama huu".
Bullshit!
Sijakupinga kwenye uwezekano wa intel kufeli boss. Kufeli na kufaulu kwa intel wala haikuwa hoja yangu. Hoja yangu ilikuwa USA kutokutegemea majibu waliyokuwa wakiyachokonoa yatoke.
Wakati huo Israel anaendelea kukua kiuchumi?Ndio maana USA na Israel wana mlipua ili asiweze kufikia huo uwezo!
.
Wanamfanya awe kiwete,
. Wakishamnyong'onyesha wanaenda kuharibu hizo sites za nukes ina maana atahitaji muda sana kuanza tena kurutubisha hayo madini.
Ambacho wewe huelewi ni kwamba Iran kwa sasa anarudishwa kuwa mtoto kama JWTZ ya tz
Iran wadeal na hizo zinazo wapasua hapo kwao😀Mandege ya Marekani nasikia yanaanguka hovyo hovyo huko Kuwait 🇰🇼 hata hawajui sababu ni nini.
Hizo ndege nimeambia watu hapa zinapigwa, wanasema ni patriot..Kipi kimesababisha hizi ndege kulipuka??
US fighter jets crash in Kuwait
Kuwait's defence ministry says "several" US military aircraft crashed this morning inside the country.
It says the crews of the jets "survived unscathed" and are in "stable" conditions after being evacuated and transferred to hospitals.
![]()
Iran latest: War expands as dozens killed in Lebanon as Israel strikes Hezbollah and US fighter jets crash in Kuwait
Iran says it is unwilling to negotiate with the US as it comes under strikes for a third day. The conflict is spreading, with Israel exchanging attacks with Hezbollah in Lebanon and a British RAF base in Cyprus hit by a drone. Follow the latest.news.sky.com
US warplanes crash in Kuwait
![]()
Israel launches new strikes on Iran as US identifies first American soldiers killed in conflict
The four US Army reserve soldiers were killed in a drone strike in Kuwait on Sunday, one day after the US and Israel began the operation.www.bbc.com
Hizo ni hesabu za baadaeWakati huo Israel anaendelea kuku kiuchumi?
Iran ina utajiri wa mafuta na gas...Hizo ni hesabu za baadae