Nikukumbushe aliyosema China na akafanya.Huelewi chochote juhusu mchina nakumbia China hawezi kufanya hicho kitu na hajawahi msadia msaidizi wake hata mmoja.
-2018 China ilitangaza kusimamisha uundaji wa iphone na ikafanya.
-China ilitangaza kuwanyima USA rare earth metals na ikafanya.
-China ilitangaza kuongeza ushuru mara 2 kwa USA na ikafanya.
Mida mingine usiwe UNAROPOKWA KAMA MLEVI.
Aliyeongea ni WAZIRI WA MAMBO YA NJE,yule haropoki bali kamati inakaa na kupitisha maamuzi ndio yeye analitamka.
-Hadi sasa Iran inatumia satellite za China kushambulia kambi za USA na Israel.
-China imetoa radar na ADS na makombora kwa Iran,je huo sio msaada!?
Muda mwingine embu tumia akili yako hata kidogo.