Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,616
- 14,106
Nakumbuka sana wakati huo JWTZ pamoja na majeshi ya Malawi,Zambia na South Afrika ( kama sijakosea) walileta heshima kubwa sana.Lakini Kwa kilicho tokea mwaka 2025 ilikuwa aibu kubwa sana PK niwakufanyia Sarcasm ya namna ile kweli! Hakika mambo Yana badilika Kwa kasi sana.Ukweli ni kwamba vikosi vingi vya west middle ni chanzo Cha migogoro hapo middle east.Na ukifuatlia Kwa undani vipo Kwa sababu ya maamuzi ya wanasiasa wenye maslahi binafsi katika mataifa ya west.
Ile prestige na respect imeshuka sana