Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mkuu unaongea ukiwa umetafakari kwa kina au swaumu ya leo imekuwa ngumu?
Nitafakari kwa kina chenye depth gani wakati rekodi zipo, msizanie vita ni sindimba,Hamas na silaha zao za kuungaunga imekatika zaidi ya mwaka na nusu na bado Hamas wapo na mashambulizi yao ya kuvizia. Unapayuka kama mmenyeshwa maji ya chooni,yani umpige adui kwa asilimia 85 halafu uombe msaada kwa NATO, yaani unacho ongea haki make sense.
 
Rais wa France anawanda wananchi wake kwa uwongo eti Iran inashambulia vibaya sana marafiki zetu US na Israel na hatuwezi kukubali maslaha yetu yaathirike hapo ni wazi wamekiri US na israel peke yao hawamuwezi Iran.

Rais wa Faransa anaendelea na uwongo eti tunaingia kuwasaidia wananchi zetu hahahaha


View: https://youtube.com/shorts/i1kB9O76WYE?si=KPnV8bujnxCtTVbt

Ndio mpango wao wa siri huo, kwamba Iran ikiwa inaendelea na mashambulizi, France, Germany, UK n.k wafuatie.. na atakuwa anaingia mmoja baada ya mwingine. Hii ndio ilikuwa agenda yao. Maana uwezo wa Iran kijeshi ulitishia EU yote kwenye 12 days war.
 
Hamna sehemu waliyotoa figure mpaka sasa, zaidi ya propaganda ila ukiona mpaka mkuu wa nchi kaongea hivyo,kaa ukijua idadi ya waliangamizwa ni ngumu kuificha na ni kubwa.
Na ni anaweza akasema hivyo ili kuwatia Iran moyo hasira yao ishuke baada ya kupewa kipigo kizito sana cha viongozi wao na miundombinu ya kijeshi.

Hadi sasa, Iran ameshapoteza sana saana kuliko US na Israel na ataendelea kupoteza sana.

Anga lake tayari limeshakamatwa, adui ana uwezo wa kumpiga popote pale atakapo. Ndege zaidi ya 200 zipo katika anga lake, huu ni udhaifu mkubwa sana. Ni kama US anaamua kumpiga huku anatulia, hataki kumpa kipigo kizito cha mara moja, anapiga kisha anamsoma Iran. Kwa hali ya anga la Iran kukamatwa, ni kipengele ambacho Iran kimeonesha haitaweza kushinda haya mapigano.
 
Na ni anaweza akasema hivyo ili kuwatia Iran moyo hasira yao ishuke baada ya kupewa kipigo kizito sana cha viongozi wao na miundombinu ya kijeshi.

Hadi sasa, Iran ameshapoteza sana saana kuliko US na Israel na ataendelea kupoteza sana.

Anga lake tayari limeshakamatwa, adui ana uwezo wa kumpiga popote pale atakapo. Ndege zaidi ya 200 zipo katika anga lake, huu ni udhaifu mkubwa sana. Ni kama US anaamua kumpiga huku anatulia, hataki kumpa kipigo kizito cha mara moja, anapiga kisha anamsoma Iran. Kwa hali ya anga la Iran kukamatwa, ni kipengele ambacho Iran kimeonesha haitaweza kushinda haya mapigano.
Ndege 200 unazijua ndege 200? Sasa hayo mabomu waliopigwa US kwenye kambi zake za middle east yalipita ardhini?.yaani unavyo ongea hata huvipimi.

Unalikamtaje anga, wakati mesile za Iran zina uwezo wa kuzipiga kambi zako na maeneo ya washirika wako?
 
Lincoln haijapigwa kwa shambulio lolote, meli ipo active ikiendelea na majukumu yake.

Unafahamu lakini ulinzi wa hizo Aircraft carriers?
We jamaa hebu acha mada za kitoto.
Lincoln ina ulinzi gani? hebu tueleze..
Huo ulinzi uliopo kwenye hio Lincoln, ilishindikana kuwekwa kwenye makambi ya kijeshi ambayo chini ya masaa 24 yamepigwa middle east yote?
 
Hivi unaona US ni miungu watu kwamba wakipanga lolote linafanikiwa? kwamba wakishapanga tu lazima wafanikiwe?

Kauli zako zina underestimate sana uwezo wa waajemi...
Haijalishi walifahamu ama kutofahamu, intel huwa zinafeli, haijalishi ni US ama Russia... Trump an wenake ni watu kama wewe, wanakunya na wana mapungufu kama mwanadamu yeyote, hakuna u special wowote, same to waajemi na Israelis.

Unataka kulazimisha hoja kwamba kama US wakipanga mkakati basi ni ngumu kufeli, kitu ambacho historia inakataa.

US na Israel kufeli kwenye hii vita ni kawaida.
!2 days war waliishiwa interceptors, walishindwa kuangamiza nuclear facility na material yaliyomo, Iran bado ana nuclear kaificha, walishindwa pia kufanya regime change.
Kati ya anayefikiri kuwa USA hakutegemea respond kubwa hivi na anayefikiri USA alitegemea respond pengine zaidi ya hapa nani ameunderestimate uwezo wa Iran?

Hoja yangu si kufaulu au kufeli kwa mbinu na majibu, nimehoji vigezo vilivyotumika kuhitimisha USA hakutegemea kujibiwa kwa kiwango hichi.

Siamini kwamba USA alifikiri ataua viongozi wa Iran pasiwepo na majibu makubwa. Suala la majibu kufeli au kufaulu si hoja yangu.
 
Ndege 200 unazijua ndege 200? Sasa hayo mabomu waliopigwa US kwenye kambi zake za middle east yalipita ardhini?.yaani unavyo ongea hata huvipimi.

Unalikamtaje anga, wakati mesile za Iran zina uwezo wa kuzipiga kambi zako na maeneo ya washirika wako?
Aisee, hebu tuone videos hizo ndege zinavyopita, ni aina gani kwanza ?
 
Mategemeo ya majibu huwa yanaandaliwa kabla ya uvamizi boss, USA kabla haijaivamia Iran tayari ilishategemea possibility za wivango vya respond, labda uhoji timeframe ya majibu ila si kutegemea kutokujibiwa kwa kiwango hata zaidi ya hichi na nchi kama Iran. Tena hapo washirika wa Iran wametulia, ikitokea wameingia utasema tena USA hakutegemea hilo na wakati ni possible? Ukiivamia nchi ndogo ya Africa halafu ikajibu kwa ukubwa kuliko uwezo uliodhani wanao ghafla Russia karespond, China karespond hapo utasema haikutegemewa, ila Iran, lolote linawezekana, hata WW inaweza ibukia humo humo.
Kuna asilimia kubwa kwamba hawakutegemea hizi hatua za Iran kwa sababu huko nyuma wamesha ua viongozi wengi wa Iran lakini Iran ikafanya mashambulizi ya kujizuia ili kuhepusha mzozo mpana lakini wakati huu hali imekuwa tofauti kabisa kwani Iran imeamuwa liwalo na liwe sasa anaichoma mashariki ya kati nzima.
Kingine matarajio ya Marekani na Israel yalikuwa ni baada ya kuuwa viongozi wa ngazi ya juu basi wapinga serikali wangeanzisha maandamano mwisho wa siku kuzuke uasi lakini pia na hilo linaonekana kwenda tofauti na matarajio yao.
 
Lincoln haijapigwa kwa shambulio lolote, meli ipo active ikiendelea na majukumu yake.

Unafahamu lakini ulinzi wa hizo Aircraft carriers?
Ndio maana na kuambia unapayuka.
Screenshot_20260301_220654_Instagram.jpg

We unazani US kuomba msaada wa kutumia kambi za washirika wake na meli zao unazani anapenda, hiyo meli peke yake inabeba ndege tisini. Imepigwa ndio maana US ,ameomba washirika wake apate sehemu ya ndege zake kutua na kujaza mafuta,alikuwa anaitegemea meli ila ndio hivyo ishapigwa japo hawataki kusema imeharibika kwa kiwango gani.
 
Anachofanya Irani kwa sasa ni kupiga kwa kutumia chochote alichonacho na anapiga popote anapohisi panafikika, maana yuko kwa sasa yuko kama simba aliejeruhiwa!

Kuna muda utafika ambao si mrefu sana ataishiwa makombora alafu atabaki kulialia tu.

Mimi namuona mjinga maana anatumia stock yake ya makombora kupiga target zisizo na faida.
Ndo alivokwambia?
Au ndo msemaji wa serikali ya iran?
 
Cyprus kwenye kambi za UK ni target zisizo na faida!??
Iran ameshasema anasafisha missile stockpile ya zamani bado hajaanza kutumia mpya.
Hao tangu utawala wa Kishia uundwe wamekua wanajiandaa na vita.
Jiulize kwanini hawakuishiwa silaha katika vita ya MIAKA NANE DHIDI YA IRAQ!?
Hao wana uzoefu wa vita za miaka mingi.
Unajidanganya bure ndugu!
Iran hata angekuwa na nukes angekuwa ameshaitumia maana ana hasira sana kwa sasa!

Hizo kombora unazoziona ndio za kiwango cha juu alizonazo.

Pale alipo ni sawa na mtu aliekutana na kobra huwezi kusema nitumie kafimbo kadogo alafu hili kubwa nitatumia baadae.

Kumbuka pia kule ndani Israel ana kazi ya kuziwinda hizo siraha na kuzilipua.

Vita pia ni gharama na Iran ilikuwa hoi kiuchumi hata kabla ya vita. Jipe wiki 2 Iran atakuwa ametepeta sana na hutaona kombora hata moja likiruka toka ndani ya Irani kuelekea Israel au kwingineko anakopiga sasa hivi.
 
Back
Top Bottom