dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
jet zinaingia tehran zinapiga zinaondokaHuelewi maana ya stand off strike?
Hizo jet zinaishia mipakani...
Akili zako ndogo zinakutuma wanaruka juu ya anga kama zile chinese migs za jwtz zinavyokatiza uwanja wa taifa siku ya maonyesho..
Chinese mig za Tanzania ama zinavyoitwa cheng du, Tanzania wana cheng du J 7 ambapo zinakimbia kuliko F 35..
Zile mig za 1960s zinakwenda mpaka mach 2.07 more than 2000km/ h... F 35 inakwenda 1.6 mach au 1900 km/ h..
Ikitokea F35 ikalengwa uwezo wa ku escape missile ni mdogo..
Mnadanganywa ni stealth.. 😂 😂 warushe juu ya anga la Tehran..
Tena kwa kilichotokea nyuma ndo kinatoa sababu zaidi ya USA kufikiri Iran wataamua liwalo na liwe maana umewachokonoa vya kutosha na sasa umevuka mstari. Pengine ndo walichotaka, patokee vita kamili liwalo na liwe.Kuna asilimia kubwa kwamba hawakutegemea hizi hatua za Iran kwa sababu huko nyuma wamesha ua viongozi wengi wa Iran lakini Iran ikafanya mashambulizi ya kujizuia ili kuhepusha mzozo mpana lakini wakati huu hali imekuwa tofauti kabisa kwani Iran imeamuwa liwalo na liwe sasa anaichoma mashariki ya kati nzima.
Kingine matarajio ya Marekani na Israel yalikuwa ni baada ya kuuwa viongozi wa ngazi ya juu basi wapinga serikali wangeanzisha maandamano mwisho wa siku kuzuke uasi lakini pia na hilo linaonekana kwenda tofauti na matarajio yao.
Kama unafuatilia vyema , matukio yaliyopita yanaonyesha US na Israel wameua viongozi wakubwa sana kijeshi Iran na wenye ushawishi kama Suleiman, Iran ikajibu kwa kupiga kambi za US pale Iraq na maisha yakaendelea.Kati ya anayefikiri kuwa USA hakutegemea respond kubwa hivi na anayefikiri USA alitegemea respond pengine zaidi ya hapa nani ameunderestimate uwezo wa Iran?
Hoja yangu si kufaulu au kufeli kwa mbinu na majibu, nimehoji vigezo vilivyotumika kuhitimisha USA hakutegemea kujibiwa kwa kiwango hichi.
Siamini kwamba USA alifikiri ataua viongozi wa Iran pasiwepo na majibu makubwa. Suala la majibu kufeli au kufaulu si hoja yangu.
Mkuu, nakubaliana na wewe kasoro hapo tu kuwa USA walitegemea kila siku itakuwa business as usual hata baada ya kuua viongozi wakuu. Kwa akili ya kawaida tu, USA inakutana na ilichotegemea hata kama kimechelewa ndo maana wakati IRAN inawapa majibu ya kawaida walirudi kusukuma majibu zaidi. USA ilitaka vita, ilivitafuta vita, ilitegemea vita na sasa imepata vita. Matokeo na kufeli au kufanikiwa kwa vita ni ishu nyingine.Kama unafuatilia vyema , matukio yaliyopita yanaonyesha US na Israel wameua viongozi wakubwa sana kijeshi Iran na wenye ushawishi kama Suleiman, Iran ikajibu kwa kupiga kambi za US pale Iraq na maisha yakaendelea.
US na Israel wameua wanasayansi wasomi wakubwa sana Iran, Iran haikujibu.
US na Israel wameua top commanders wengi wa Iran, Iran ikajibu kwa kupiga kambi ya jeshi la US Qatar sijui na wapi , nadhani Kuwait.. kinyonge.. waliua almost 30 commanders... Israel na US wakaomba easefire wakakubaliana na Iran.
Huu mchezo ulishaonekana ni kama kawaida kwao, round hii wameaua viongozi, halafu wakaingia wote vitani kwa pamoja kwa nguvu zaidi wakifahamu wataua, na itakuwa kama kawaida.
Sasa hivi Iran katandika kambi zote za US, chini ya masaa 24, hio ni world record, US kama kawaida alifahamu anaogopwa.
Na vita inazidi kuwa ngumu, Iran imekataa cease-fire, na inaonekana US na Israel walikuwa tayari kwa cease-fire maana hata aljazeera wamesema hilo.
Hivyo Trump si Mungu mtu, Netanyahu pia, ni watu kama wewe na wanafanya makosa, mossad pia ni watu, wanatomba wana wake , wana familia wana watoto kama wewe, wanajamba na kujisaidia, wanafanya mistakes...
Hivyo usije kuona they are soooo special, kwamba wakipanga strategies, plans na kufanya intel hawafanyi makosa...
Hapo ndipo mnakosea, kuiona US ni special...
Ni ujinga tu.
Halafu kama wamekamata anga, Usiku ukirusha ndege juu utaona tu missiles zinapotokea, kwanini wasipige hayo maeneo? wapige launchers kwa B-2..We ndio hutafakari ndege mia mbili unazijua wewe? Labda kama matoi, Iran anarusha mesile kwenye kila direction aitakayo, unafanya masihala kushikilia anga. Hebu vipime unavyo viongea kabla ya kuvipost.
Kabisa... Ila watanzania tulishagombana na mantiki kitambo sana.Mkuu, nakubaliana na wewe kasoro hapo tu kuwa USA walitegemea kila siku itakuwa business as usual hata baada ya kuua viongozi wakuu. Kwa akili ya kawaida tu, USA inakutana na ilichotegemea hata kama kimechelewa ndo maana wakati IRAN inawapa majibu ya kawaida walirudi kusukuma majibu zaidi.
Kwa akili ndogo tu ya kawaida, Hili la kusema USA haikutegemea ni sawa na mtu anayeenda kupima HIV kila wakati anakuta negative, anarudi kufanya ngono halafu anapima tena anakuta negative halafu siku ikiwa positive aseme sikutegemea sababu huwa inakuja negative.
Du, hahaha.Kabisa... Ila watanzania tulishagombana na mantiki kitambo sana.
Kwani wanaokufa wanauliwa na wachangia mada wa Jf au wanauwana wenyewe huko wanaopiganaHuu Uzi unanikumbusha ushabiki uliokuwepo wakati vita ya Ukraine na Russia ilipoanza.
Wanazi wa Bonyokwa huzizungumza vita kama vile ni mashindano ya vigodoro mtaani kwao.
Vita watu hufa wasio na hatia.
Ndio maana nakuambia intel huwa zinafeli... hio ni kawaida kabisa..Mkuu, nakubaliana na wewe kasoro hapo tu kuwa USA walitegemea kila siku itakuwa business as usual hata baada ya kuua viongozi wakuu. Kwa akili ya kawaida tu, USA inakutana na ilichotegemea hata kama kimechelewa ndo maana wakati IRAN inawapa majibu ya kawaida walirudi kusukuma majibu zaidi. USA ilitaka vita, ilivitafuta vita, ilitegemea vita na sasa imepata vita. Matokeo na kufeli au kufanikiwa kwa vita ni ishu nyingine.
Kwa akili ndogo tu ya kawaida, Hili la kusema USA haikutegemea ni sawa na mtu anayeenda kupima HIV kila wakati anakuta negative, anarudi kufanya ngono halafu anapima tena anakuta negative halafu siku ikiwa positive aseme sikutegemea sababu huwa inakuja negative.
Sijakupinga kwenye uwezekano wa intel kufeli boss. Kufeli na kufaulu kwa intel wala haikuwa hoja yangu. Hoja yangu ilikuwa USA kutokutegemea majibu waliyokuwa wakiyachokonoa yatoke.Ndio maana nakuambia intel huwa zinafeli... hio ni kawaida kabisa..
Kama walitegemea ina maana lazima walijiandaa kukabiliana na hili, je kuna hatua zozote? Israel inazidi kutandikwa, kila siku usiku inapewa dozi.
Wameanza na kutumia iron beam, ile miale kuzuia makombora.. lakini hali ni tete, ina-perform hovyo ndo maana unaona hawapigi kelele kuhusu huo ujinga wa iron beam.
Vita ina utaalamu, na kuna watu wanasomea, ni jambo la kutumia akili, inawezekana walipata intel wakipiga sehemu flani kuna missiles za hypersonic, wakimuua flani uwezo wa kurusha makombora unakuwa mdogo na kuua chain of command... matokeo yake inakuwa sivyo, kwani huwezi jua mwingine kajipanga vipi...
Israel ilishapata intel ya uhakika 2006 kuhusu makombora ya Hezbollah yalipo, walipiga hilo eneo usiku kucha, wakatangaza tayari wamemaliza uwezo wa makombora wa Hezbollah.. baadae mvua ikaanza ya makombora...
Gaza, Netanyahu alisema hawato negotiate, ataipiga Hamas na wataachia mateka, what happened?, Israel walishindwa waka kaa mezani na kubadilishana mateka dunia ikishuhudia...
Elewa intel zinafeli.
Wanaofanya intel ni watu kama sisi.
Samia akiamua kuingia front vita inaisha ndani ya masaa ma3.Ukweli ni kuwa hakuna mTz anayeweza kuzuia hii vita Kwahiyo tunabaki kuwa watazamaji na wahadithiaji tu
Nchi imeharibika kabla ijapigwa na kombora ikipigwa je ?Samia akiamua kuingia front vita inaisha ndani ya masaa ma3.
Israel na US wote watakuwa wamekaa chini.
Who are they?
BADO UNAONGEA UTUMBO.Unajidanganya bure ndugu!
Iran hata angekuwa na nukes angekuwa ameshaitumia maana ana hasira sana kwa sasa!
Hizo kombora unazoziona ndio za kiwango cha juu alizonazo.
Pale alipo ni sawa na mtu aliekutana na kobra huwezi kusema nitumie kafimbo kadogo alafu hili kubwa nitatumia baadae.
Kumbuka pia kule ndani Israel ana kazi ya kuziwinda hizo siraha na kuzilipua.
Vita pia ni gharama na Iran ilikuwa hoi kiuchumi hata kabla ya vita. Jipe wiki 2 Iran atakuwa ametepeta sana na hutaona kombora hata moja likiruka toka ndani ya Irani kuelekea Israel au kwingineko anakopiga sasa hivi.
Hadi sasa Iran haijatumia silaha zake za Khoramshar wala Sejjil.Unajidanganya bure ndugu!
Iran hata angekuwa na nukes angekuwa ameshaitumia maana ana hasira sana kwa sasa!
Hizo kombora unazoziona ndio za kiwango cha juu alizonazo.
Pale alipo ni sawa na mtu aliekutana na kobra huwezi kusema nitumie kafimbo kadogo alafu hili kubwa nitatumia baadae.
Kumbuka pia kule ndani Israel ana kazi ya kuziwinda hizo siraha na kuzilipua.
Vita pia ni gharama na Iran ilikuwa hoi kiuchumi hata kabla ya vita. Jipe wiki 2 Iran atakuwa ametepeta sana na hutaona kombora hata moja likiruka toka ndani ya Irani kuelekea Israel au kwingineko anakopiga sasa hivi.
Hizo silaha zishalipuliwa na jet za IsraelHadi sasa Iran haijatumia silaha zake za Khoramshar wala Sejjil.
Wewe kaa jiropokee hapo.
Ziko wapi hizo siraha?Hadi sasa Iran haijatumia silaha zake za Khoramshar wala Sejjil.
Wewe kaa jiropokee hapo.