Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Na inakuwaje Israel inaruhusu makombora kuingia kwenye anga yake licha ya mifumo ya ulinzi iliyo jazana kwenye ardhi yake?
Alafu Israel inatumia anga ya Iraq na Syiria kuishambulia Iran sio kwamba anaingia ndani ya anga la Iran.
Ww hujiulizi ni kwa nini Israel inasema kuwa imetumia ndege 100 kwenye shambulizi moja lakini unakuta targeti zilizo pingwa ni 15 tu?
Ni kwa sababu hizo ndege zikienda zinarusha mabomu mengi kwa wakati mmoja hivyo mifumo ya ulinzi inazidiwa inatungua mengine mengine yabapenya na kupiga lengo.
Angalia hii ni "carpet bombing" pia Kuna videos nyingi sana zilizorekodiwa na targeting pod
 

Attachments

  • MASHAMBULIZI YA JESHI LA ANGA LA ISRAEL JIJINI TEHRAN__Jeshi la Anga la Israel limefanya masha...mp4
    6.4 MB
Hizi rumors za Netanyahu kuuwawa zisiwe kweli kwa maana hali itakuwa mbaya sana, vyombo vya habari vingi vya India na Online Magazine zimeripori hizi rumors.
Ameshaonekana anakagua maeneo yaliyoharibiwa na Iran Leo. Yuko fiti
 
Hizi rumors za Netanyahu kuuwawa zisiwe kweli kwa maana hali itakuwa mbaya sana, vyombo vya habari vingi vya India na Online Magazine zimeripori hizi rumors.
Hakuna hivyo vyombo. Ni page fake za watu social media. Sasa hivi watu hutafuta kukuza page zao kwa kuandika like kitachovutia zaidi watu na kuongeza views(comments)

Zipo pia Leo asubuhi zilikua zinaandika kuhusu kuuliwa Ayatollah mpya. Bahati mbaya sehemu Kama Twitter kila mtu anaweza kuwa na aacount fake alafu ipo verified

Huu ndio msimu wa kuvuna followers na kuongeza engagements.
 
Dmitry Medvedev:
The Third World War is not happening yet, but it could start at any moment if Trump continues his current course.

The United States, in trying to preserve its dominance, is behaving like pigs unwilling to part with the trough.

By deciding to attack Iran, Trump has put all Americans at potential risk.

Any event could trigger the Third World War.

D ya Kiingereza inatosha kuelewa anachomaanisha huyu janja!
 
Back
Top Bottom