Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hakuna hivyo vyombo. Ni page fake za watu social media. Sasa hivi watu hutafuta kukuza page zao kwa kuandika like kitachovutia zaidi watu na kuongeza views(comments)

Zipo pia Leo asubuhi zilikua zinaandika kuhusu kuuliwa Ayatollah mpya. Bahati mbaya sehemu Kama Twitter kila mtu anaweza kuwa na aacount fake alafu ipo verified

Huu ndio msimu wa kuvuna followers na kuongeza engagements.
Hindustan Times na Times of India ni vyombo vya habari vyenye miaka zaidi ya mia, sio Millard Ayo na reputation zao ni kubwa.
 
Hii ndio nyumba ya Ayatollah kama ulikua hujui, ameuliwa nyumbani kwake.

View attachment 3551201View attachment 3551202
View attachment 3551207

Hakuna tech yoyote ya kisasa ama ujuzi wa maana kumuua, angetaka angekaa kwenye bunker ama Chini ya milima huko angekua salama, Ila hajataka kataka aishi kama wanavyoishi wananchi wake.

Mzee wa miaka 86 ambaye kapooza mkono mmoja na ana cancer kwa miaka 10 sasa.
Acha ujuha ile ilikuwa shambulio la kushtukiza ndio maana likamkuta hapo mbona ile ya siku 12 zote ziliisha akiwa ardhini
 
Vita haijaisha labda vita ya kwenu Nantumbo.
Lengo la Israel na Marekani ni REGIME CHANGE. Je Reza Pahlavi ameshawekwa kwenye kiti cha uongozi Iran!??
Imagine 😄

Wanasangilia kufa Kwa Ayatollah it's okay , Je regime of changes imeshafanyika !? Imefanikiwa !?
 
💥💥💥💥
Wizara ya ulinzi ya Qatar
20260302_190812.jpg
 
Hizi rumors za Netanyahu kuuwawa zisiwe kweli kwa maana hali itakuwa mbaya sana, vyombo vya habari vingi vya India na Online Magazine zimeripori hizi rumors.
Nadhani ni uvumi tu atakuwa salama tu Netanyau sio mjinga kukaa sehemu inayo julikana.
 
News updates;
-Iran ipo kwenye kumchagua mrithi wa Khamenei,pia unasemekana Masoud Pezeshkian haieleweki hali yake huwenda wakamchagua rais wa mpito kuendeleza vita.
-Iran imeandaa mpango wa kusogeza askari wake na wanamgambo wake karibia na mipaka ya Israel ili vita.
-Pia inaandaa Makombora ya hypersonic kuanza jihadi ya kulipiza kisasi cha Khamenei.
-Trump anaonya kuwa VITA KWAKE VIMEISHA IRAN ISITHUBUTU KUSHAMBULIA LEO MAANA ITAJIBIWA JIBU KALI.
-Mkondo mkuu wa nchi wa kusambaza na kusafisha maji ya matumizi Israel umelipuliwa.
So Trump anasemaje kuwa vita imeisha wakati utawala uliopo Iran haujatolewa madarakani!? Ai mini ndiye sielewi maana ya regime of changes!? 😄😄😄
 
Back
Top Bottom