Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Sawa kuna tiketi za bure hapa ukaishi kwenye kambi za Marekani, wenzako wanakimbia huko, wewe huku unajitutumua ni vita ya maneno. Lincoln imekimbilia India, Ndege nyengine zimekimbilia Cyprus etc. kama maneno Yana nguvu hivi then Iran watashinda kwa maneno yao.
hivi wewe unafikiri kumuua ayatolah na waziri wa ulinzi na viongozi wa juu zaidi ya 40 ilikua ni kazi ndogo?

Largest Air Force attack ever: 200 Israeli jets strike some 500 targets in Iran | Watch​


 
Kuna haka kaukuta ambako mabwenyenye wanaendaga Israel kukabusu!
Hakajafikiwa na heipasoniki bado!?


images.jpg
 
hivi wewe unafikiri kumuua ayatolah na waziri wa ulinzi na viongozi wa juu zaidi ya 40 ilikua ni kazi ndogo?

Largest Air Force attack ever: 200 Israeli jets strike some 500 targets in Iran | Watch​


Hii ndio nyumba ya Ayatollah kama ulikua hujui, ameuliwa nyumbani kwake.

ayatollah-khomeini-native-house-khomein-footage-189441960_iconl.webp
images (1) (1).jpeg

images (1) (2).jpeg


Hakuna tech yoyote ya kisasa ama ujuzi wa maana kumuua, angetaka angekaa kwenye bunker ama Chini ya milima huko angekua salama, Ila hajataka kataka aishi kama wanavyoishi wananchi wake.

Mzee wa miaka 86 ambaye kapooza mkono mmoja na ana cancer kwa miaka 10 sasa.
 
hilo suala la kuficha taarifa halisi za vita ziko kila sehemu, hata urusi anaficha taarifa zake...huyo iran ndo kabisa usiseme ndo anazima hadi intaneti ili kuzuia taarifa zake zisisambae..sasa anayezima intaneti na ambae hazimi nani ana afadhali?
Sawa ila mimi nimeongea kwa Muktaza wa Trump ni ngumu kwa mkuu wa nchi yenye nguvu kama US kuongea vile na tena wakati vita ikiendelea kwangu ndio mara ya kwanza.
 
Aiseee
Ila Iran inakuwaje anaruhusu ndege za wengine ziingie anga lake?
Na inakuwaje Israel inaruhusu makombora kuingia kwenye anga yake licha ya mifumo ya ulinzi iliyo jazana kwenye ardhi yake?
Alafu Israel inatumia anga ya Iraq na Syiria kuishambulia Iran sio kwamba anaingia ndani ya anga la Iran.
Ww hujiulizi ni kwa nini Israel inasema kuwa imetumia ndege 100 kwenye shambulizi moja lakini unakuta targeti zilizo pingwa ni 15 tu?
Ni kwa sababu hizo ndege zikienda zinarusha mabomu mengi kwa wakati mmoja hivyo mifumo ya ulinzi inazidiwa inatungua mengine mengine yabapenya na kupiga lengo.
 
Hivi haka kamtaa kana nini mbona huwa kana pigwa sana inapotokea vita?
Aisee nashindwa kuelewa.
Iran wamepumzika naona wanasubiri wafuturu waanzishe total out war waliyotangaza.
Inasemekana IDF wamepoteza mawasiliano na Ben Netanyahu na haifahamiki alipo.
 
Back
Top Bottom