Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Maisha yangu yote sijawahi kuona Tel Aviv ikibondwa na makombora, ila mwaka jana na mwaka huu nimeona!
Sijawahi kushuhudia Wanaisrael wakiishi kama digidigi, ila mwaka jana na mwaka huu nimeona.

Iran siwadai chochote!
🤣🤣🤣🤣 Halafu mtu anasema kwamba Iran hakuna kitu

Wakati huko nyuma tuliaminishwa kwamba Israel ni Taifa teule la mungu hakuna kombora Wala bomu linaloweza kutua Ardhini kwake , Now Iran katuonyesha kuwa zile story ni chai tu

Ila wazungu Kwa propaganda hapana Kwa kweli 🙌🙌🤣
 
💥💥💥💥
Israel muda huu inashambulia kwa makombora kusini mwa Beirut Lebanon
Screenshot_20260302-200105_1.jpg
 
Super power wa middle east kaonekana, US alidhani Iran inaogopa jina, US ni simba mzee, meno hana...

Iran inapiga middle east yote tena makambi ya US na ina violate anga za majirani na hakuna kitu wanafanya, na hakuna kitu watafanya..

Kuna haja gani US kuweka makambi ya kijeshi kwenye hizo nchi? nini maana ya kuingia mikataba na hizo nchi kuwapatia ulinzi.

Tazama sasa UAE inapigwa mfululizo, US ni tapeli. Uwezo wa kuwalinda washirika wake hana, baada ya hii ita nadhani nchi za gulf zitaona Trump amewaponza.
😄😄😄 Lazima wataanza Kufikiria upya kuhusu mikataba Yao ya ulinzi
 
Iran nimemkubali jinsi alivyoweza kujenga chimbo la kutunza silaha na makombora deep underground yaani wamedesign underground milimani kama sehemu ya tambarare na vyuma vipi vya kutisha kama uchafu , sijui walipata wapi hiyo teknolojia na akili ya kuficha kitambo chini milimani.
IMG_20260302_201514.jpg
 
Bila Nyuklia hapa US na Israel wanaaibika vibaya. Israel ndio huwa haina kifua kabisa kuvumilia.

Bila us ground forces kuwafuta hawa wanamapinduzi wa kiislam watakuja kukuta wameshaandaa na nuclear yao ya kujibu. Inatakiwa wafutwe fastafasta. Ila kama Iran kafanya haya US hawezi kupigana na Russia wala china
😄😄😄 Jamaa base zao zimepigwa na kuchanwa chanwa hapo mashariki ya kati aibu kubwa sana aisee Iran sio waoga kabisa .

Yaani Iran anapiga mabomu Nchi 5 tofauti at the same time dahh muajemi hapana Kwa kweli 🙌
 
Siasa za mashariki ya kati nazielewa kwa sehemu kubwa, na nilishaandika nyuzi humu.
Hivyo usije fikiria una deal na mtu asieelewa nini kinaendelea.

12 Days war aliyeomba cease-fire ni Israel kupitia kwa US.

Iran inaweza kupigwa kweli na ikavumilia, lakini Israel haina uvumilivu huo, mitaa inapigwa na watu wanakufa, hili linapelekea ku pressure serikali isimame vita.

Tujipe muda. Nadhani inabidi utathmini uwezo wako wa kuchanganua mambo si mimi.

Trump si ndiye kaanzisha vita na Israel, si wana hasira sana na wanataka regime change, iweje aanze tena kuonyesha nia ya kuwasikiliza Iran?

Kama Iran imekuwa weak kwanini wasiishambulie kwa nguvu zaidi na kuangusha uongozi wa Iran?

Kwa sababu US na Israel wameona hawaendi kufanikiwa zaidi ya hasara, kuepuka aibu anaanza kuwaandaa watu kisaikolojia kwamba Iran imepigwa hadi inakubali mazungumzo.

Na niliandika humu kama kutabiri Trump atafanya hivyo.
Fact
 
Acha ujuha ile ilikuwa shambulio la kushtukiza ndio maana likamkuta hapo mbona ile ya siku 12 zote ziliisha akiwa ardhini
Baada ya viongozi wa Jeshi kuuliwa shambulio lile alikaimu nafasi nyingi za Jeshi kuongoza mashambulizi it make sense kwake kuwa ofisi za Jeshi.

This time Iran walijua kabisa USA na Israel wanajiandaa kushambulia, siku moja kabla tayari Nchi kibao ziliambia diplomasia wake waondoke hayo maeneo, even JF kuna nyuzi kibao kwamba vita inakuja, kama unahisi Hadi JF habari zipo halafu Iran walikua hawajui Sawa.
 
Back
Top Bottom