Vita sio Sindimba,vita na Iraq imekatika miaka nane na huyo Iraq hana tech wala uwezo wa kijeshi kama waliokuwa nao Iran, hii ngoma bado mbichi sana ndio kwanza imeanza kimasihala hapa wanaweza toboa hata miaka 20.Nahisi haya mashambulizi ya issel tunayo ambiwa yanalenga zaidi MAENEO ambapo vyuma vya Iran vinatokea wakimaliza hapo kazi itakuwa imekwisha.
Japo Iran nampongeza kwa kuonesha kupambana
Litakuwa jambo zuri ikiwa utawala wa Iran hauta angushwa ndani ya siku chache. Japo mabeberu ni kama wamedhamiria kumaliza haya mambo upesiVita sio Sindimba,vita na Iraq imekatika miaka nane na huyo Iraq hana tech wala uwezo wa kijeshi kama waliokuwa nao Iran, hii ngoma bado mbichi sana ndio kwanza imeanza kimasihala hapa wanaweza tobacco hata miaka 20.
Kuangusha utawala wa Iran ni hadi jeshi likanyage ardhi.Litakuwa jambo zuri ikiwa utawala wa Iran hauta angushwa ndani ya siku chache. Japo mabeberu ni kama wamedhamiria kumaliza haya mambo upesi
Hawana uwezo huo, nchi za ulaya uchumi wao kwa sasa haupo stable Corona na Vita ya Ukraine imeharibu uchumi wao, ndio maana hata NGO nyingi za kibongo zina hali mbaya. Hii vita atapigana mwenyewe US na baadhi ya nchi kama UK na Germany,ila hawa wengine wana hali mbaya sana. So hata wao wenyewe wanaweza sitisha sababu ya hasara. Vita gharama, vita ya Iraq US pekee yake katumia USD 3T.Litakuwa jambo zuri ikiwa utawala wa Iran hauta angushwa ndani ya siku chache. Japo mabeberu ni kama wamedhamiria kumaliza haya mambo upesi
Sasa wajigawe huku kuisadia Ukraine na kule Israel.Hawana uwezo huo, nchi za ulaya uchumi wao kwa sasa haupo stable Corona na Vita ya Ukraine imeharibu uchumi wao, ndio maana hata NGO nyingi za kibongo zina hali mbaya. Hii vita atapigana mwenyewe US na baadhi ya nchi kama UK na Germany,ila hawa wengine wana hali mbaya sana. So hata wao wenyewe wanaweza sitisha sababu ya hasara. Vita gharama, vita ya Iraq US pekee yake katumia USD 3T.
Israel imeshindwa vipi kupiga makombora yote ya Iran na sehemu wanazo launch, kaua Ayatollah kashindwa kumaliza hypersonic na ballistic za Iran.Iran anaweza kurusha makombora Hadi Cyprus ila kashindwa kuharibu run away na kambi za jeshi la Israel, mwewe wanapaa na kutua
View attachment 3551349
UNYAKUO NI MWISHONI! ! !Tukio linalosubiriwa Kwa sasa ni unyakuo KWANZA
Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumamosi, huku shambulio la kwanza likiripotiwa kutokea karibu na ofisi za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei.
Vyombo vya habari vya Iran viliripoti mashambulizi katika maeneo mbalimbali nchini humo, huku moshi ukionekana ukifuka kutoka katika mji mkuu, Tehran.
Rais wa Marekani, Donald Trump, alisema kupitia video aliyochapisha kwenye mitandao ya kijamii kuwa Marekani imeanza operesheni kubwa za kijeshi nchini Iran. Alidai kuwa Iran imeendelea kuendeleza mpango wake wa nyuklia na ina mipango ya kutengeneza makombora yenye uwezo wa kufika Marekani.
Haikufahamika mara moja kama Khamenei mwenye umri wa miaka 86 alikuwa ndani ya ofisi zake wakati wa shambulio hilo, kwani hajaonekana hadharani kwa siku kadhaa huku mvutano kati ya Iran na Marekani ukiendelea kuongezeka.
Mashambulizi hayo yamekuja wakati Marekani ikiwa imekusanya idadi kubwa ya ndege za kivita na meli za kijeshi katika eneo hilo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuishinikiza Iran kufikia makubaliano kuhusu mpango wake wa nyuklia.
View attachment 3549827View attachment 3549826
----------
Israel launched what it called a “preemptive strike” against Iran Saturday morning, according to Defense Minister Israel Katz, as a state of emergency was declared across the country.
The government declared the state of emergency because of the expectation of Iranian retaliation with drones and ballistic missiles.
The U.S. and Israel launched an attack Saturday on Iran, with the first apparent strike happening near the offices of Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei.
Iranian media reported strikes nationwide, and smoke could be seen rising from the capital.
President Donald Trump said in a video posted on social media that the U.S. had begun “major combat operations in Iran.” He claimed Iran has continued to develop its nuclear program and plans to develop missiles to reach U.S.
It also wasn’t immediately clear whether the 86-year-old Khamenei was in his offices at the time. He hasn’t been seen publicly in days as tensions with the United States have grown. The attack comes as the United States has assembled a vast fleet of fighter jets and warships in the region to try to pressure Iran into a deal over its nuclear program.
Source: CNN
Wa upande upiWahuni wamechafukwa haswa