Gulf states zote zimekaa kimya, maana anga zao zinakuwa violated na wao wapo kimya japo ndio walishirikiana na Israel kwa siri kuiambia US kuichangia Iran.
Sasa intel zimevuja na Iran anailenga UAE hadi mahoteli, na tena anawalenga kwa huruma, ni kama Iran inasubiri wajaribu kujibu tu, IRGC wanawakejeli UAE mitandaoni kwenye accounts zao wanaandika 'Habibi we come to Dubai' , maana UAE huwa wana ule msemo wao maarufu 'Habibi come to Dubai', sasa IRGC wanajibu 'Habibi we come to Dubai' huku wanarusha missiles na drones. 🤣 . Ni kama IRGC wanawakejeli lakini kwa uchungu mwingi na wana hasira na UAE.
Haifurahishi , lakini UAE hata yeye anaona amemkosea Iran, hata IRGC hawajaamua kuteremsha majengo na kuchoma lamborghini zao moto kwa makombora.
Mtu unaishi kwenye jumba la vioo unaleta ugomvi wa mawe, yaani hawa waarabu wa gulf hawana akili kabisa, aliye salimika na hakuwa mnafiki ni Oman pekee.
UAE, Saudi , Bahrain, Kuwait , Jordan n.k hao wote lao lilikuwa moja, sasa nchi kama UAE wakadhani baada ya unafiki wao wa kuizunguka Iran siri hazitovuja, kwamba Iran itapigwa na US na Israel, uongozi utaanguka, huku wao wakiendelea kuendesha magari ya kifahari, ku cruise magari jangwani na kila aina ya starehe kama tunavyoifahamu Dubai.
Lakini hali imebadilika na wao wanaonja joto ya jiwe, kwa hili nasimama na Iran, next time wakifanya ujinga huo waelewe kabisa vita ikianza ni ya kanda nzima, ili wakemee vita na kuacha unafiki.