Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

kwa hiyo unataka kuniambia kwamba wanajua kabisa kwamba wanawindwa ili wauwawe and then hawachukui measure zozote za kujilinda sababu wanafuata falsafa za ayatolah? ndo unachosema?
Kama kila siku Trump alikuwa anasema ataishambulia US, anasogeza meli karibu na jeshi . Unafikiri intel ya Iran haikuwa na taarifa?

Taarifa tunazipata Tanzania hadi humu ndani kf watu wanaandika nyuzi siku flani US anaishambulia Iran, mwingine akasema jumatatu haifiki US anaishambulia Iran, lakini muda woe huo Ayatollah unafikiri alikosa pa kujificha Iran ndani ya Iran yote?
 
yani iran keshavunjwa vunjwa kila sehem hadi ikulu imepigwa mabomu najiuliza sana alivokua anajipata ana mifumo imara ya ulinzi inafanya kazi gani dah. asingekua amezima internet asee tungeona mengi sana kutoka tehran na ndio maana kakimbilia kuzima intaneti sababu anajua kabisa amejaa porojo nyingi sasa angeaibika. meli zake zote zimezamishwa sasa hivi hana jeshi la majini tena

Usiwadharau. Bado wako vizuri japo wanapigwa. Hii vita haiishi leo. Majeshi yote ya Iran yana wabishi wengi.

Na regime change haitokei bila ground invasion. Na wamarekani wakiingia tu watakutana na moto wa hardliners ambao hawaogopi kufa.
 
Iran asijaribu kabisa kurusha kombora lolote PAKISTAN! Kwa kisingizio cha kulenga kambi za marekani zilipo nchini humo. Wataalam wa vita wataniewa Pakistan inajeshi la kisasa na Katili kwel kwel
Pakistan mwenzake India na Afghanistan.
Nadhani unaona huko vita yao na Afghanistan na bado Pakistan anahenyeshwa. Pia kama haufahamu Pakistan ni jeshi lenye low endurance katika mashambulizi.

Liwekwe bato Iran na Pakistan basi Pakistan asubuhi na mapema tunamzika.
 
Kobazi jiandaeni kuchagua timu

Israeli reporter quoting Israeli official - we assess that Saudi Arabia is going to attack Iran soon after yesterday’s attacks
 
Iran asijaribu kabisa kurusha kombora lolote PAKISTAN! Kwa kisingizio cha kulenga kambi za marekani zilipo nchini humo. Wataalam wa vita wataniewa Pakistan inajeshi la kisasa na Katili kwel kwel
Wakiwa threat watapigwa tu...
Wakitumika na US watatandikwa tu kama kawaida na hakuna kitu watafanya, tokana na Iran kuwa na supporte wengi hapo sidhani kama watafanya hivyo.
 
Kobazi jiandaeni kuchagua timu

Israeli reporter quoting Israeli official - we assess that Saudi Arabia is going to attack Iran soon after yesterday’s attacks
Watakutana na Houthis, na kama wamechoka kula tende, basi wajaribu. Huyo ms3ng3 prince wa Saudia ni kama shoga, ana mambo ya kike, ngoja aje achakazwe.
 
Kama kila siku Trump alikuwa anasema ataishambulia US, anasogeza meli karibu na jeshi . Unafikiri intel ya Iran haikuwa na taarifa?

Taarifa tunazipata Tanzania hadi humu ndani kf watu wanaandika nyuzi siku flani US anaishambulia Iran, mwingine akasema jumatatu haifiki US anaishambulia Iran, lakini muda woe huo Ayatollah unafikiri alikosa pa kujificha Iran ndani ya Iran yote?
Ngoja tu nikuhabarishe, ni kwamba hadi kufanikisha kumuua ayatollah ni kwamba ujasusi wa israel uliojipenyeza Iran umefanya ushushushu huo kwa miaka mingi Sanaa usifikiri ni suala la leo walla jana. ayatollah ni mtu ambae alikua analindwa Sana hapo Iran. huyo huwezi kumuua kiurahisi mzee.

Acha porojo kama swaumu imekubana kaa kibarazani kwenye mkeka tulia si bado masaa mawili tu?
 
Wakiwa threat watapigwa tu...
Wakitumika na US watatandikwa tu kama kawaida na hakuna kitu watafanya, tokana na Iran kuwa na supporte wengi hapo sidhani kama watafanya hivyo.
Iran mwenyewe yupo hatua za mwisho za kushindwa vita! Jeshi Lao siku sio nyingi linarudi ground zero! Litabaki kuwa kama vikundi vya IS na al shabab
 
Israel itaenda kuwasaidia
Israel amekamatwa na Hezbollah huko, na missiles za Iran zinashuka kama mvua... Saudia kama anaingia vitani basi ni shinikizo la Israel, kwa maana hadi sasa Israel na US inatafuta mshirika yeyote ajitokeze kuwasaidia.

Na ajitafakari kama yupo tayari kwa maafa ya vita, maana watapigwa pasahaulike kama ni Saudia. Yemen wana hasira sana na Saudia. Houthis tu pekee huwa wanaipelekesha mperampera Saudia.
 
Usiwadharau. Bado wako vizuri japo wanapigwa. Hii vita haiishi leo. Majeshi yote ya Iran yana wabishi wengi.

Na regime change haitokei bila ground invasion. Na wamarekani wakiingia tu watakutana na moto wa hardliners ambao hawaogopi kufa.
Iran kwanza anavunjwa vunjwa nguvu ili Kasi ya kurusha makombora ipungue sababu Iran yeye ni makombora na drones tu Hana kingine zaidi ya hicho so wakifanikisha hilo tu kwanza wanakua washammudu. Halafu Sasa ndo wanakuja kwenye suala la regime change. Tunaenda kwa phase hadi kinaeleweka

Hadi leo tunaona kwamba hajaweza kuleta upinzani wowote dhidi ya adui ambae yupo kwenye nchi yake adui anaingia anapiga na anatoka salama.
 
Ngoja tu nikuhabarishe, ni kwamba hadi kufanikisha kumuua ayatollah ni kwamba ujasusi wa israel uliojipenyeza Iran umefanya ushushushu huo kwa miaka mingi Sanaa usifikiri ni suala la leo walla jana. ayatollah ni mtu ambae alikua analindwa Sana hapo Iran. huyo huwezi kumuua kiurahisi mzee.

Acha porojo kama swaumu imekubana kaa kibarazani kwenye mkeka tulia si bado masaa mawili tu?
Si kweli, mbona amefia nyumbani kwake na si kwenye bunker?
Hivi unaelewa nguvu ya kombora, hata uzungukwe na walinzi 20, utauawa tu, sasa sijui huo ulinzi unaosema alikua nao ni upi?
 
Cyprus na huko kwingineko ni marekani ndio amefanya hivyo.. Mimi naongelea ndege za Israel sio marekani

hakuna airbase ya Israel iliyopigwa na Iran, picha za satellite za base zilizopigwa zipo ila hakuna ya Israel kama ipo leta hapa

F-35i adir,F-15i raam na F-16 sufa zote zinatoka Israel mzee
Hakuna picha zozote za eneo la kijeshi lililopigwa huko Israel. Ni kosa kisheria. Hata video moja mchina alikuwa anajenga ghorofa aka chukua kidogo. Nyingie mchina wa CCTV anaambiwa na askari achukue dakika tatu tu na zote ni uraiani.
Kama anasilaha za kupiga popote anaweza kuwa anabajeti mabomu kwa kupiga sehemu nyeti. Ila usitegemee picha hata kambi zote zifutwe. Unapima kipigo kwa hasira ya majibu na uzito wa majibu ya kipigo
 
Si kweli, mbona amefia nyumbani kwake na si kwenye bunker?
Hivi unaelewa nguvu ya kombora, hata uzungukwe na walinzi 20, utauawa tu, sasa sijui huo ulinzi unaosema alikua nao ni upi?
Kombora zimepigwa 30 ambazo ni high target
 
Back
Top Bottom