Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Iran mwenyewe yupo hatua za mwisho za kushindwa vita! Jeshi Lao siku sio nyingi linarudi ground zero! Litabaki kuwa kama vikundi vya IS na al shabab
Hata watu waliongea hivi hivi vita ya Iraq dhidi ya Iran 1980-1988.
Cha ajabu miaka NANE Iran ikamdindia Saddam Hussein na mabwana zake Ufaransa,Uingereza,Urusi na Marekani.
 
IDF announced the start of a “large-scale wave of strikes” targeting infrastructure facilities in Tehran.
Baada ya Iran kuanza kushambulia oil and gas infrastructures nilikuwa nasubiri hatua ya Israel na USA
 
💥💥💥💥
Israel imeshambulia kwa makombora kambi ya kuhifadhi mizinga borujerd. Mlipuko mkubwa
20260303_173459.jpg
 
Hata watu waliongea hivi hivi vita ya Iraq dhidi ya Iran 1980-1988.
Cha ajabu miaka NANE Iran ikamdindia Saddam Hussein na mabwana zake Ufaransa,Uingereza,Urusi na Marekani.
Mkuu vita ya Iran na Iraq pia ulikuwa unatoa uchambuzi? Mimi nilikuwa busy nacheza kitenesi hata sijuwa najua kuna vita.
 
Iraq ilikuwa haina tech na capability kama ya Iran, ila US na NATO iliwachukua miaka nane.Kwa hali wanayo ipitia NATO ya kiuchumi baada ya Corona na Ukraine, msuli wa kifedha wa kupigana na Iran hawana, so vita itabakia kuwa na US na Myahudi, so hapo labda wapigane miaka hamsini vita sio sindimba,hii vita sio ya leo wala kesho, hapa mnamaliza miongo hata mitano. Hamas na silaha zao za kuungaunga na kuokoteza ,Myahudi imemchukua zaidi ya mwaka na nusu.
Tech gani? Zile MIG za mrusi na S300 zote zimebokorewa zimebaki scrappers 😂
 
Mkuu kwani Iran harushi missiles?
Anarusha, lakini anarusha kwa muda na muda. Zikiwa intercepted habari haiwezi kuwepo maan inaishia hapo kuwa zimekua intercepted

Zitazokua zimepenya habari ndio itakuja eneo lililopigwa. Mfano hapo nimeweka habari sasa hivi helon Kuna missile imepiga(Rudi Hapo juu utaona na picha nimeweka)
 
Iraq ilikuwa haina tech na capability kama ya Iran, ila US na NATO iliwachukua miaka nane.Kwa hali wanayo ipitia NATO ya kiuchumi baada ya Corona na Ukraine, msuli wa kifedha wa kupigana na Iran hawana, so vita itabakia kuwa na US na Myahudi, so hapo labda wapigane miaka hamsini vita sio sindimba,hii vita sio ya leo wala kesho, hapa mnamaliza miongo hata mitano. Hamas na silaha zao za kuungaunga na kuokoteza ,Myahudi imemchukua zaidi ya mwaka na nusu.
unatakiwa ujue kwamba ukiwa una intel nzuri hutumii nguvu kubwa kupigana sababu utakua unalenga sehem ambazo ni sahihi tuu haubahatishi. vita ya sasa sio nguvu ni akili. iran hadi sasa zaidi ya kurusha makombora hakuna alichofanya kwenye hii vita. huko kwake kapigwa kila sehem, meli zake zote 11 zimezamishwa..ameshindwa kumzuia adui asilete madhara..kabaki kushambulia vituo vya mafuta saudi arabia. usifanishe iran na hamas..hamas hawana cha kupoteza..ila iran ana cha kupoteza.. anahangaika hiyo islamic kingdom isianguke.. washia wote wanaitegemea iran kama ndo mtetezi wao..ikiangua hiyo kingdom ya washia ndo basi tena..hezbolah watalia..houthi watalia...hamas watalia
 
Back
Top Bottom