Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Anarusha, lakini anarusha kwa muda na muda. Zikiwa intercepted habari haiwezi kuwepo maan inaishia hapo kuwa zimekua intercepted

Zitazokua zimepenya habari ndio itakuja eneo lililopigwa. Mfano hapo nimeweka habari sasa hivi helon Kuna missile imepiga(Rudi Hapo juu utaona na picha nimeweka)
Sawa Jeremy Diamond.
 
💥💥💥💥
Video footage: Israel imeshambulia kwa makombora jengo la mkutano wa wataalamu huko Qom.
 

Attachments

  • 2026-03-03_17-42-54_0.mp4
    730.9 KB
Iraq peke yake kuna vikundi VINNE vinavyoisapoti Iran.
Na vina askari sio chini ya elfu 50.
Ile michezo ya ugaidi wa ISIS na alqaida this time won’t work, wana dawa yake sasa,tech waliyomkamatia Madulo chumbani kwake na kumla kichwa Ayatollah, yule drug cartel na mahandaki ya hamas ni next level, wana high precision satellites na artificial intelligence, mtadunguliwa vichwa wote na msijue nini kimetoke, rudini mezani au mtafanywa kama hamas
 
Unaambiwa baraza lililokua linakaa kumchagua mrithi wa Ayatollah limepunwa lote
Screenshot_20260303_174708_X.jpg
 
Yaani wewe unajua kuliko KSA.
Kwani watu wakienda kwenye vita Wana asses hayo? Kama Trump ambayo watu Wana remote wanam control na MBS pia hivyo hivyo. In short wote hao kwenye Epstein list kuna watu Wana remote zao wkiambiwa ingia kwenye vita wnaingia, unless kutokee upingamizi kwenye Familia apigwe chini.
 
Trump kwa mtazamo wa body language yake:

Hawezi kujiondoa.
Hawezi kuzungumza na Iran, wameshaona negotiations zinawafanya waumie zaidi na hazina faida kwao
Hawezi kushinda vita hii., atashinda battle lakini siyo total war, kama ilivyotokea amepoteza support ya allies wake, EU wanamchora kwa mbali
Hawezi kusimamisha vita hii, ni aibu kujitoa kwa sasa
Hawezi kufanya mabadiliko ya utawala.
Unamtoa Ayatollah mmoja anaingia Ayatollah mwengine, wako zaidi ya 20 wameshaandaliwa
Amenaswa katika vita hii na Iran, hana end game zaidi ya kutegemea uprising ya wananchi wa Iran kuung’oa utawala uliopo kitu hakijafanyika mpaka sasa

Hii ndiyo hutokea unapomdharau adui yako.

Iran imevunja kiburi chake kwa makombora na ndege zisizo na rubani chache tu. Licha ya sifa za Iron Dome bado makombora yanatesa Israel na hizo base zake ambazo kwake zilikuwa first line of defence kwa early warning na kutumika kama refuelling stations na complex strategic fronts

FUNZO: Usimdharau kamwe adui yako, bila kujali wewe ni mwenye nguvu kiasi gani
Mfano US vs Vietnam, US vs Somalia warlords kina Gen Aided na Afghanistan vs USSR na hiyo ya Israel na Hamas walimaliza kwa mazungumzo kupata mateka
I have something to ask

So hayo Ma- iron dome Yana faida Gani Sasa kama nayenyewe Yana bondwa hovyo kama mandonga!? 😁😁😁

Huwa wana testia wapi hiyo mitambo then wanakuja kuiaminisha Dunia kwamba Ni air defense mechanism..!?

Now Iran ana wauliza it's Air defense mechanism for whom?? 😁😁
 
Iran inaanza kumfikilia Pakistan. Inasemekana Kambi za kijeshi za marekani zilizoko Pakistan ndio zinazofuatilia na kufanya udukuzi wa movements za kijeshi za Iran zaidi huko Balochinstan. ( Paf base Samungli).

Hawa jamaa kobazi hawaamini, vita vya siku 12 hawa Pakistan walijifanya wako upande wa Iran. Akiishambulia Pakistan wao nao wananyuklia. Lakini ni kama kuwapa haueni India ambao ni machawa wa Israel na Maadui wa Pakistan.

Iran hii kazi peke yake itamshinda mapema, angeongezeka mchina tu au kiduku au Russia peke yake wangetembeza kichapo dunia nzima. Ila akisema apige kila mwarabu lazima aishiwe Pawa.
Ndugu yangu naomba nikuhakikishie kua Urusi na china Iko bega kwa bega na Iran,haya mafanikio yote ya Iran ni Kwa msaada mkubwa wa china na Urusi.
Amini nachokuambia.
 
💥💥💥💥
Israel imeshambulia kwa makombora eneo la Resalat Tehran kwenye jengo la makao makuu ya jeshi la Iran
20260303_175013.jpg
 
unatakiwa ujue kwamba ukiwa una intel nzuri hutumii nguvu kubwa kupigana sababu utakua unalenga sehem ambazo ni sahihi tuu haubahatishi. vita ya sasa sio nguvu ni akili. iran hadi sasa zaidi ya kurusha makombora hakuna alichofanya kwenye hii vita. huko kwake kapigwa kila sehem, meli zake zote 11 zimezamishwa..ameshindwa kumzuia adui asilete madhara..kabaki kushambulia vituo vya mafuta saudi arabia. usifanishe iran na hamas..hamas hawana cha kupoteza..ila iran ana cha kupoteza.. anahangaika hiyo islamic kingdom isianguke.. washia wote wanaitegemea iran kama ndo mtetezi wao..ikiangua hiyo kingdom ya washia ndo basi tena..hezbolah watalia..houthi watalia...hamas watalia
Hivi unajua US Iraq peke yake ametumua USD 3T bado hujawazungumzia washirika wake wa NATO.

Nimetoa mifano halisi unaleta assumptions, vita sio Sindimba Hamas wale mwaka mmoja na nusu, wanatumia silaha za kienyeji Myahudi anatech za kila aina,katumia mwaka mmoja na nusu na bado Hamas bado wapo, vita sio sindimba.
 
Back
Top Bottom