Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

US and Israeli forces struck the office of Iran’s Assembly of Experts in the city of Qom on Tuesday, Iran’s Tasnim news agency reported, in the latest attack on senior state institutions.

Tasnim, which is affiliated with the Islamic Revolutionary Guard Corps, also cnfirmed that the Assembly’s compound in Tehran – located at the former parliament building – had also been struck overnight.

Lazima Masheikh wakimbilie msituni
 
Iran mwenyewe yupo hatua za mwisho za kushindwa vita! Jeshi Lao siku sio nyingi linarudi ground zero! Litabaki kuwa kama vikundi vya IS na al shabab
Iraq ilikuwa haina tech na capability kama ya Iran, ila US na NATO iliwachukua miaka nane.Kwa hali wanayo ipitia NATO ya kiuchumi baada ya Corona na Ukraine, msuli wa kifedha wa kupigana na Iran hawana, so vita itabakia kuwa na US na Myahudi, so hapo labda wapigane miaka hamsini vita sio sindimba,hii vita sio ya leo wala kesho, hapa mnamaliza miongo hata mitano. Hamas na silaha zao za kuungaunga na kuokoteza ,Myahudi imemchukua zaidi ya mwaka na nusu.
 
Kombora zimepigwa 30 ambazo ni high target
Hata wangepiga kombora 200, Ayatollah ilikuwa inafamika alipo, kama mtu yupo na familia yake kuna siri gani hapo, ina maana hata jirani alijua mzee Ayatollah yupo pale.

Wala haikuhitaji sifa mnazowapa hao mossad kwamba ni hatari kutambua Ayatollah alipo.

Hivyo una wa overrate sana Mossad as if ni watu wanajisadia vyuma...
 
💥💥💥💥
Iran imeshanbulia kwa makombora eneo la helon Israel
20260303_171953.jpg
 
💥💥💥💥
Israel muda huu inashambulia kwa makombora mashariki na katikati mwa Tehran. Milipuko mikubwa
 
Naona sasa hivi wanajeshi wa US watajiuliza kama wakipangiwa kambi za middle east.Mda huu vikundi vingine Iraq vinavyo msupport Iran, zimeripua kota wanazokaa wanajeshi wa US Iraq.
Vikundi vinavyoissuport Iran ni vichache
 
Hata wangepiga kombora 200, Ayatollah ilikuwa inafamika alipo, kama mtu yupo na familia yake kuna siri gani hapo, ina maana hata jirani alijua mzee Ayatollah yupo pale.

Wala haikuhitaji sifa mnazowapa hao mossad kwamba ni hatari kutambua Ayatollah alipo.

Hivyo una wa overrate sana Mossad as if ni watu wanajisadia vyuma...
hivi wameuliwa makamanda 48 tena wote ngazi za juu alafu unasema overrate? wameuliwa wakuu wa idara za ujajusi, mawaziri wa ulinzi, wakuu wa majeshi. unasemaje hicho kitu ni cha kawaida aseee? kama mkuu wako wa ujasusi ameuliwa je wewe ni nani hadi ubaki salama?
 
Back
Top Bottom